Nimefika ndani ya duka la dawa nikaona dada mrembo kidogo ugonjwa upone

labda avataaaa imekosewa....coz me hawezi weka ya kike......na hata ke hawezi weka ya kiume....pole
Kwani kuna sheria humu kuwa ke aweke I'd ya ke na me aweke I'd ya me.

Ni maamuzi ya mtu kijana uwache kukariri maisha

We unajua kwenye I'd ni nani kwangu nimeamua kumuweka.

Heshimu kila siyo wote unawachukulia poa.


Povu la sabuni ya jamaa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom