Nimefichua siri

kaa kimya na jitahidi kutomuamini mtu yeyote hapo utabaki nayo mengi moyoni
 
Nitafute nikusaidie njia ambayo itakupa amani zaidi juu ya kuhifadhi siri zako huku duniani.
Am serious. Not a joke

 
Mwalimu wangu wa social ethics first year alinifundisha kuwa there are 4 ways of keeping secrets namely;
1. Evasion
2. Destructing the questioner
3. Keeping silent and
4. Mental reservation.
 
fanya kama ile hadithi ya mfalme ana masikio kama punda!!
yule jamaa alishindwa kuvumilia kama wewe!!!!
 


Mmbeya haulizwi........
kwan ww uliulizwa?
ww ni mmbe tena husituhulize cc kawaulize mashangingi wenzio uliowambia.
 
wewe uko hivyo, hiyo ni tabia ya kimbea.....
 
Mwalimu wangu wa social ethics first year alinifundisha kuwa there are 4 ways of keeping secrets namely;
1. Evasion
2. Destructing the questioner
3. Keeping silent and
4. Mental reservation.

safi kumbe nawe ni msomi wa elimu ya juu ya chuo kikuu,...! hongera
 
Bree ven siri huwa haitamkiki maana ni kitu ambacho kwa namna yoyote ile huwezi kupata ujasiri wa kufunua mdomo wako na kukiongea kwa mtu yoyote.
Hiyo uliyoisema kwa hao marafiki zako mi naamini si siri.Hata hivyo itakuwa imekusaidia somehow maana kukaa na kitu kinachokuumiza ni ugonjwa ukikikitoa tu unapona.
Kikubwa kama unahisi hiko kitu kinakuumiza sana jitahidi kuwaambia watu unaowaamini ili usije kujilaumu tena.
 
Last edited by a moderator:

...niambie siri zako zoote ntakutunzia, hauta kaa ujute tena mamaa.....
 
Ucklze siri za watu hasa znazohucana na hio yko cz itkshwsh kuisema pia
 

umenena vyema mkuu
 
Wewe ndiye muamuzi wa mwisho kama uliweza kujikaza kabla ya kutoa siri, sahau siri ulizozitoa kwa watu wawili(kumbuka maji yakishamwagika hayazoleki) na kisha uanze ukurasa mpya. Jizuie na inapotokea ukiwa unahisi unataka kutoa siri zako jaribu kukata maongezi mliyonayo na uondoke eneo husika, itasaidia
 
Cku kikikuwasha,nenda msituni ukapge kelele.Htakuckia mtu asee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…