HIYO TOPIC INABIDI ISOMEKE NILIFANYA, ANYWAY 2009 NI MDA NA KAMA UNAJUTIA KOSA LAKO NATUMAINI NA Mungu ameishakusamehe. I HOPE AUKURUDIA TENA.
ilikuwa mwaka 2009 nikiwa form four mtaani kwetu kulikuwa na jamaa mmoja mwenye tabia za kike kike. Alikuwa ana ukaribu sana na vijana wadogo wadogo wa form two hadi form four. Kumbe jamaa yule kutoka kaskazini alikuwa shoga na alikuwa anawashawishi vijana wale kufanya nae mapenzi. Vijana wengi wakampitia. Kijana mmoja rafiki yangu akaja kunipa story za jamaa yule na kuniambia kuwa jamaa anatoa hadi pesa ili umpe umfanye kinyume na maumbile. Nilivyo mdadisi sana kijana yule nikamshauri akatubu kwa padri.
Kijana: baba pdri naungama kwa sababu nilifanya mapenzi na mwanaume mwenzangu.
Sala ikasimama
Padri: eeeeh vipi ulifanya wewe au ulitendewa?
Kijana: mimi ndo niliye fanya.
Baada ya maungamo padri akamshauri yule kijana kuwa asiruidie tena.akasaidia kufanya uchunguzi hatimaye yule kijana shoga akawekwa mtu kati na kuamriwaa rudi kwao by then alikuwa na miaka 31.
Based on very true story.

2009 form 4, ulipata ngapi kiswahili, unakumbuka kuna wakati wa sasa timilifu, wakati ujao, na wakati uliopita? sasa habari na kichaa cha habari tofauti.
Ha!ha!ha!ha!ha! Kweli hiki ni kichaa cha habari sio kichwa cha habari!
Jifunze matumizi ya alama za kufungua na kufunga semi...
Kwa namna ulivyoandika kichwa cha mada ni kama wewe ndiye uliyepakuliwa...
Kashindi.... story inaendelea au?
za nini wakati ni yeye siunajua watu wanapenda tumia nafsi ya tatu au ya pili