Na hakuna wengine Zaidi ya CCM, watanzaniawenzangu iambieni CCM basi imetosha.Tunatamani kuziona na sisi Air Tanzania zikirukakama zilivo ndege za Ethiopia, Rwanda na Kenya.Jamani tunatamani kuiona TTCL ya Tanzaniaiking'aa zaidi ya Vodacom, Tigo na Airtel.
Jamani watanzania wenzangu mbona hatuipendinchi yetu hivi? Au ninyi mnaoishabikia CCM ni wa wapi?Tunahtaji kuiona reli ya Kati na Tazara zikibeba watu kila siku na mizigo kupunguza maloribarabarani, Watanzania tusife tena kwa ajali za barabarani.
Watanzania wenzangu CCM imewaloga na nini?Mnahtaji Maombi?Au mnaitaji kupelekwa kwa mganga ili ilo limbwatalitoke?Semeni basi tuwasaidie kabla ya October 25,tunahtaji Mabadiliko jamani, Tunahtaji nchi Mpya,tunahtaji watu watakaoiondoa nchi hapailipokwamia.Natamani kusikia Mutex, Mwatex ikifanya kazi,watu wakibadilishana shift Usiku na mchanakuingia kazini.
Natamani, natamani.Natamani kuona Twiga hawapandi ndege mimi.Nataman kuona UMEME haukatiki siku 365 zamwaka, natamani.Watanzania wenzangu tamanini basi kama mimi.Uwezi panga nyumba moja baba mwenye nyumba nakusumbua unakomaa tu eti nikihama huko piamwenye nyumba atakuwa kama huyu, mmh sikweli hama, watu hawafanani. Hata CHADEMA na CCM havifanani. IkomboeTanzania.
Lete kura yako UKAWA, wakishindwamiaka Mitano kuonesha njia, tuwawatoa kwani TATIZO LIPO WAPI?Tanzania sio ya CCM, Tanzania sio ya CHADEMA,Tanzania sio ya CUF, Tanzania ni nyumbani kwangu mimi na wewe.
IPENDE TANZANIA WEWE MTANZANIA, HII NINYUMBA YAKO, NI NYUMBA YA WANAO, NA VIZAZIVYAKO VYOTE VITAIJIVUNIA nyumbani TANZANIAmileleMABADILIKO NI SASA CHUKUA HATUA.