Eng. Smasher
JF-Expert Member
- Nov 13, 2010
- 745
- 23
Ni miezi 3 sasa tupo katika uhusiano na mpenzi wangu.
Ukweli ni kwamba sijawahi kupenda ingawa nilishawahi kuwa kwenye relation bt now nimepatikana coz nahisi upendo wa dhati kwa binti mmoja ambaye 2mejuana nae kwa 4ne so in short cjawahi kutana nae wala picha yake.
Pls advise me is this true LOVE or hii hali inatokea coz ha2jamit nae?

Thanks buddy,kweli abt tabia ntachek but anajisifia ni mrembo vipi anaweza akajisifia wakati ni mbovu?duuhhh muheshima ..... ni rahisi sana ku fall in love na mtu ambaye huja mwona
kwani wakati unaongea na mtu anaweza kuremba tu sauti ( nipigie nikuonyeshe hahaahha lol)
kwani kila msichana/mwanamke anaongea kama malaika kwenye simuu...
mi naona usije mwambia unampenda mpaka umwone sura na ujue tabia yake ....
Thanks buddy,kweli abt tabia ntachek but anajisifia ni mrembo vipi anaweza akajisifia wakati ni mbovu?
Pls nipe contact nitest kukupigia.
wakinana demu anaweza kuingia mitini hapo lol!Je yeye kaiona hiyo sura yako na dental formular yako?
U r playing a dangerous gameNi miezi 3 sasa tupo katika uhusiano na mpenzi wangu. Ukweli ni kwamba sijawahi kupenda ingawa nilishawahi kuwa kwenye relation bt now nimepatikana coz nahisi upendo wa dhati kwa binti mmoja ambaye 2mejuana nae kwa 4ne so in short cjawahi kutana nae wala picha yake. Pls advise me is this true LOVE or hii hali inatokea coz ha2jamit nae?