Nimefall in Love na Unknown Persnon! Pls Help

Eng. Smasher

JF-Expert Member
Nov 13, 2010
745
23
Ni miezi 3 sasa tupo katika uhusiano na mpenzi wangu.
Ukweli ni kwamba sijawahi kupenda ingawa nilishawahi kuwa kwenye relation bt now nimepatikana coz nahisi upendo wa dhati kwa binti mmoja ambaye 2mejuana nae kwa 4ne so in short cjawahi kutana nae wala picha yake.

Pls advise me is this true LOVE or hii hali inatokea coz ha2jamit nae?
 
Confused!!!! Hapo kwenye bold mara mpenzi wako then hujawahi kukutana nae! Mmmmmhh
 
duuhhh muheshima ..... ni rahisi sana ku fall in love na mtu ambaye huja mwona
kwani wakati unaongea na mtu anaweza kuremba tu sauti ( nipigie nikuonyeshe hahaahha lol)
kwani kila msichana/mwanamke anaongea kama malaika kwenye simuu...
mi naona usije mwambia unampenda mpaka umwone sura na ujue tabia yake ....
 
Sema unatamani
kuzini leo au hivi karibuni, sio kutuambia umefall in love !
 
Ni miezi 3 sasa tupo katika uhusiano na mpenzi wangu.
Ukweli ni kwamba sijawahi kupenda ingawa nilishawahi kuwa kwenye relation bt now nimepatikana coz nahisi upendo wa dhati kwa binti mmoja ambaye 2mejuana nae kwa 4ne so in short cjawahi kutana nae wala picha yake.

Pls advise me is this true LOVE or hii hali inatokea coz ha2jamit nae?

Nna wasiwasi na utimamu wa akili zako, isije kuwa umetoroka mirembe???!!!!!! Wee utampenda vipi mtu usiyewahi kumuona hata kidogo???!!!
 
inaweza kutokea ila kwa ushauri wangu jaribu kuonana nae mapema ili uridhishe moyo wako usibahatishe tena
 
duuhhh muheshima ..... ni rahisi sana ku fall in love na mtu ambaye huja mwona
kwani wakati unaongea na mtu anaweza kuremba tu sauti ( nipigie nikuonyeshe hahaahha lol)
kwani kila msichana/mwanamke anaongea kama malaika kwenye simuu...
mi naona usije mwambia unampenda mpaka umwone sura na ujue tabia yake ....
Thanks buddy,kweli abt tabia ntachek but anajisifia ni mrembo vipi anaweza akajisifia wakati ni mbovu?
Pls nipe contact nitest kukupigia.
 
Thanks buddy,kweli abt tabia ntachek but anajisifia ni mrembo vipi anaweza akajisifia wakati ni mbovu?
Pls nipe contact nitest kukupigia.

hivi kweli kuna msichana ambaye si mrembo kweye simu...
hata mimi naweza kujisifia ile mbaya....
tena anayejisifia sana ndo muogope ......
mi ninachoona usiweke matumaini yako juu sana kabla huja mwona...
mwambie akutumie picha ...
lakini ndo kama unategemea kumuoa huyo lazima umuone huyo.......(usije ukaoa jini lol)
 
Mdau bana,tatizo letu wengi we2 hatujui ma2mizi ya simu ndo maana tunachanganyikiwa bana,kwani we unamapungufu gani mpaka umpende m2 ambaye hujamuona?pia utakuwa umemtamani kutokana na picha uliyojiwekea kichwani me cthani kama umempenda!me nakushauri jicontrol na simu naamini matatizo kama haya hayatakutokea tena!
 
Ni miezi 3 sasa tupo katika uhusiano na mpenzi wangu. Ukweli ni kwamba sijawahi kupenda ingawa nilishawahi kuwa kwenye relation bt now nimepatikana coz nahisi upendo wa dhati kwa binti mmoja ambaye 2mejuana nae kwa 4ne so in short cjawahi kutana nae wala picha yake. Pls advise me is this true LOVE or hii hali inatokea coz ha2jamit nae?
U r playing a dangerous game
 
Inawezekana akawa ni soul mate wako.Kwa maelezo uliyotoa inaonekana kama mzaha,lakini kwanini usipange ukutane nae ili uwe na hakika na unachohisi?Unaweza ukapuuza ukakuta unapoteza mwanamke pekee anayeweza kuamsha hisia zako(kama ulivyosema).
Go papi,and make sure kinaeleweka.
 
Hapa sasa unapenda jini mahaba ina maana ,hata picha huna unapenda nini sasa? Sauti au aaaaaaaaaaaaagh Confusing
 
Am in love love love am in love with a dj....am in loveee.....by yvone machaka
 
kumpenda mtu ambaye hujamuona si tatizo, na pia inawezekana sana kumpenda mtu ambaye hujamuona wala si upungufu wa akili, je ni ndoa ngapi ambazo zimefungwa na watu wanaishi ambao hawakujuana kabla? (mambo ya mtandao). lakini nakushauri kitu kimoja Smasher, cool down,tafutaneni kutaneni, moyo wako una macho utakueleza kama kweli unampenda au lah, mm ninao marafiki wengi ambao sikuwajua kabla na wamenisaidia mambo mengi sana. Nakutia moyo inawezekana.
 
Back
Top Bottom