Nimeenda NMB na Cheque ya PSPF ya mafao yangu, naambiwa hawajapeleka Cheque List=hela hamna! REALLY?

Michael Ngusa

JF-Expert Member
Aug 4, 2014
1,637
458
You know, life could be very easier if folks could just do their jobs. Nimefuatilia mafao yangu for over 3 weeks, wakati Marketing wao hawa PSPF alipokuja alidai kuwa withdrawal benefits is just within 1 week! so why using cheating tactics to win me? Siku ikafika ambapo wakaniandikia Cheque, nafika Benki, naambiwa hawajaleta Cheque List hivyo wanaipokea Cheque lakini nisitegemee hela hadi pale watakapoleta Cheque List! Can somebody tell me what this really means?? and...when I'm I going to get my (IT'S MY MONEY FOR GOD'S SAKE) money?, I'm really fed up with this...Pensions Fund thing.
 
uliingizwa mkenge. tulia tu! hii mifuko ni balaa tupu, inafanya uwekezaji usio na tija. hao pspf hata pensheni za wazee ni problem.
 
Pspf is a dying entity and its full of fake promises!!be warned next time msiwafatize sana na hayo matangazo yao
 
Pspf is a dying entity and its full of fake promises!!be warned next time msiwafatize sana na hayo matangazo yao
Mkuu hii ni kweli kabisa. Mfuko wa hovyo sana huu. Nimefuatilia Mirathi kwa miaka minne. Ofisi zao zote za mikoa ni utumbo mtupu
 
Mkuu hii ni kweli kabisa. Mfuko wa hovyo sana huu. Nimefuatilia Mirathi kwa miaka minne. Ofisi zao zote za mikoa ni utumbo mtupu
Hawa jamaa wa zone offices buy kama hazi function vile..Baba mkwe wangu imebidi atoke mkoani kuka kufatilia pension Dar zaidi ya miezi 6 ndio cheki imetoka juz baada yakuja kufatilia HQ yeye mwenyewe
 
Tanzania chin ya CCM siyo nchi ya kujivunia na kutegemea itakusaidia forget it Bro and sorry. It's a hopeless and helpless nation under this rogue Government.

They take full advantage of people ignorance. Ni watu wa ajab sana ambao wako pale to mistreat and make their fellow countrymen miserable. Watu wamebaki kuish kimungumungu tu no assistance from the Government.

Kwenye usalama tunajilinda wenyewe vyombo vya dola hopeless. Kodi tunalipa hakuna hata social benefits Ni kama tunafanyia kazi kikundi cha watu wasiozid elfu moja.

The only solution is someone out there to nuke us all we start afresh like Japan.

Cc tokyo
 
Kuna wastaafu wapo PSPF wamestaafuu tangu mwaka Jana Mwezi wa5 mpaka Leo hii hawajapata mafao yao.
 
Halafu leo hii tunaletewa usanii wa hapa kazi tuu plus kutumbua majipu wakati kuna majipu kama haya ya Mifuko ya Hifadhi ya Jamii ambayo yanamgusa mwananchi wa chini moja kwa moja.
 
Back
Top Bottom