Nimeenda kikao cha shule na gari yangu Subaru Forester, walimu wakanishangaa

Mtoa mada ni Mshamba sana

Kwanza Walimu wenyewe sikuhizi karibu wote wana magari tena mazuri tu

Walikushangaa kwa kukuona Mshamba
 
Subaru Forester ni vigari ya watu wa kipato cha chini hata walimu wanaweza kuwa nayo, kwa hiyo mko level moja nao. Ni vipao mbele tu. Acha majivuno na ushamba wa magari, hiyo sio gari ya kuringishia watu. Tafuta hela ununua chuna ya maana.
walimu gani ndugu wanaoweza nunua magari hawa hawa wanaokodi boda boda au wale wa us
 
Juzi nilipita eneo fulani kulikuwa na kikao cha walimu tena wakuu wa shule aisee!

Kwanza picha linaanza nimeshuka kwenye gari subaru forester xt sport nyeusi tii inayoshine, aisee hayo macho ya walimu wakuu waliogeuka kuishangaa gari sijapata kuona, nikawapita kwenda duka la mpesa wapo wengiiii kama siafu bado wanashangaa . Ukiwacheki walivovaa sasa wameva kishamba na makofia ya cowboy na mitai ya wapi sijui

Nikaangaza huku na kule nikaona wanazidi kuingia wengine wengi kwa miguu, wengine kwa li costa fulani dcm limechoka kishenzi limetokea huko Kwimba. Mmoja au wawili tu ndo walikuja na private car na zenyewe ni rav v 4 na corola za zamani zimechoka na kukongoroka balaa halafu chafu, aisee ualimu kweli ni kazi ya laaana!

Muepushe kabisa mwanao na huu ujinga!!
ee ndugu walimu wameandamana lazima walivokua wanakushangaa wao walikua wamepaki boda boda na baiskeli nyuma ya staff wakawa wanashangaa huyu nani tena mbona hakuna mwenzetu mwenye chombo,, ila kweli hata mimi wakati niko shule mwalimu aliekua na gari alikua anaonekana mwalimu anayejiongeza sana anafikiria nje ya box lakini gari lenyewe analomiliki t. crester ya millioni 3.5
 
Mleta mada ni mwalimu sema ka take cover tu.. yeye pia ni muhusika kwenye icho kikao hivyo anashangaa kwa nini walimu wenzake kumshangaa yeye kuwa na gari zuri ....ila ni kawaida ya binadamu anapo taka kitu kizuri kuanzia kwenye kukitamani baada ya mmoja wapo au baadhi ya milango ya fahamu kukitambua kitu husika na nafsi kukitamani..ndiyo maana kuna matangazo ya biashara duniani
 
Juzi nilipita eneo fulani kulikuwa na kikao cha walimu tena wakuu wa shule aisee!

Kwanza picha linaanza nimeshuka kwenye gari subaru forester xt sport nyeusi tii inayoshine, aisee hayo macho ya walimu wakuu waliogeuka kuishangaa gari sijapata kuona, nikawapita kwenda duka la mpesa wapo wengiiii kama siafu bado wanashangaa . Ukiwacheki walivovaa sasa wameva kishamba na makofia ya cowboy na mitai ya wapi sijui

Nikaangaza huku na kule nikaona wanazidi kuingia wengine wengi kwa miguu, wengine kwa li costa fulani dcm limechoka kishenzi limetokea huko Kwimba. Mmoja au wawili tu ndo walikuja na private car na zenyewe ni rav v 4 na corola za zamani zimechoka na kukongoroka balaa halafu chafu, aisee ualimu kweli ni kazi ya laaana!

Muepushe kabisa mwanao na huu ujinga!!
Halafu usikute hata hilo gari lenyewe tu huna! Maana kuna watu wana maisha mazuri sana humu jukwaani, ila huwezi kuwaona wakileta mambo ya shobo kama hizi za kwako.

Au wewe ni Mpwayungu Village, umekuja kwa ID mpya, baada ya kupigwa ban ya milele kutokana na kuensekeza ule utoto wako? Au na wewe unataka umaarufu wa kulazimisha kupitia hao walimu?

Yaani gari aina ya Subaru ndiyo uje ulingishie watu humu jukwaani!! Hakika wewe utakuwa ni empty head wa mwisho kabisa hapa duniani.
 
Ila inaonekana members walimu wengi sana, wamemind kchz

Forrester ya mabox labda, mtu kafufua kaburi lako apo juu unaomba kaz ya kusimamia necta
 
Juzi nilipita eneo fulani kulikuwa na kikao cha walimu tena wakuu wa shule aisee!

Kwanza picha linaanza nimeshuka kwenye gari subaru forester xt sport nyeusi tii inayoshine, aisee hayo macho ya walimu wakuu waliogeuka kuishangaa gari sijapata kuona, nikawapita kwenda duka la mpesa wapo wengiiii kama siafu bado wanashangaa . Ukiwacheki walivovaa sasa wameva kishamba na makofia ya cowboy na mitai ya wapi sijui

Nikaangaza huku na kule nikaona wanazidi kuingia wengine wengi kwa miguu, wengine kwa li costa fulani dcm limechoka kishenzi limetokea huko Kwimba. Mmoja au wawili tu ndo walikuja na private car na zenyewe ni rav v 4 na corola za zamani zimechoka na kukongoroka balaa halafu chafu, aisee ualimu kweli ni kazi ya laaana!

Muepushe kabisa mwanao na huu ujinga!!
Models za magari zinatofautiana bei wajinga nyie. Unaweza kuwa na range rover sport ya mwaka 2005 na mwingine akawa na range rover sport ya mwaka 2023 , zote ni range rover sport lakini je zinalingana thamani? Kenge nyie walimu mnadhani subaru nayozungumzia apa ni izo za kwenu za zamani.ualimu ni ujinga.
 
Back
Top Bottom