Nimeenda kikao cha shule na gari yangu Subaru Forester, walimu wakanishangaa

Juzi nilipita eneo fulani kulikuwa na kikao cha walimu tena wakuu wa shule aisee!

Kwanza picha linaanza nimeshuka kwenye gari subaru forester xt sport nyeusi tii inayoshine, aisee hayo macho ya walimu wakuu waliogeuka kuishangaa gari sijapata kuona, nikawapita kwenda duka la mpesa wapo wengiiii kama siafu bado wanashangaa . Ukiwacheki walivovaa sasa wameva kishamba na makofia ya cowboy na mitai ya wapi sijui

Nikaangaza huku na kule nikaona wanazidi kuingia wengine wengi kwa miguu, wengine kwa li costa fulani dcm limechoka kishenzi limetokea huko Kwimba. Mmoja au wawili tu ndo walikuja na private car na zenyewe ni rav v 4 na corola za zamani zimechoka na kukongoroka balaa halafu chafu, aisee ualimu kweli ni kazi ya laaana!

Muepushe kabisa mwanao na huu ujinga!!
Angalia kuna kesho
 
Yaani Subaru ndo gari la kuzungumza kwa walimu? Basi wewe unakumbuka wale walimu wa miaka ya 90...walimu wa sasa hivi wengi sana wana magari mazuri tu
 
Mwaandishi wa huu Uzi namfahamu vizuri tu. Yeye ni mwalimu wa shule ya msingi lakini hapendi watu wajue kuwa ni mwalimu. Kiufupi Hana gari Ila mwaka Jana ndo kanunua pilipiki. Ameshafurukuta ahame kada ya ualimu imeshindikana. Hadi Sasa ana mgogoro na mwajiri wake kwa sababu ya kutotimiza majukumu yake ya ualimu na kushinda ofisi za halmashauri akifuatilia suala Hilo la kubadili fani. Hakuna sehemu yoyote anayoweza kujitambulisha kuwa yeye ni mwalimu unless akutane na watu wanaomfahamu.
Thibitisha.
 
Juzi nilipita eneo fulani kulikuwa na kikao cha walimu tena wakuu wa shule aisee!

Kwanza picha linaanza nimeshuka kwenye gari subaru forester xt sport nyeusi tii inayoshine, aisee hayo macho ya walimu wakuu waliogeuka kuishangaa gari sijapata kuona, nikawapita kwenda duka la mpesa wapo wengiiii kama siafu bado wanashangaa . Ukiwacheki walivovaa sasa wameva kishamba na makofia ya cowboy na mitai ya wapi sijui

Nikaangaza huku na kule nikaona wanazidi kuingia wengine wengi kwa miguu, wengine kwa li costa fulani dcm limechoka kishenzi limetokea huko Kwimba. Mmoja au wawili tu ndo walikuja na private car na zenyewe ni rav v 4 na corola za zamani zimechoka na kukongoroka balaa halafu chafu, aisee ualimu kweli ni kazi ya laaana!

Muepushe kabisa mwanao na huu ujinga!!
Ushuzi gani mshukuru mwalimu kukufundisha kuwa na akili
 
We mtoto wa mama ushashiba ugali wa shemiji umekosa Cha kuandika unaandika ujinga,ingekuwa umesoma kuliko hao walimu Wala usingeleta utoto wako hapa.
 
Back
Top Bottom