Nimeenda kikao cha shule na gari yangu Subaru Forester, walimu wakanishangaa

Mtoa mada ulikuwa hujashtukia tuu.
Hao walimu wakuu walikuwa wanakushangaa ww kwa mashauzi na mbwembwe zoote kwa kasubaru tuu akati wao huko home kwenye nyumba zao wamepaki midude ya maana ni vile tuu walitakiwa kupanda gari la pamoja ndo maana wakaletwa na hilo likosta unalosema ni bovu.
Choo ni Choo tuu dogo dhumuni ni kupokea Mavi.
 
Juzi nilipita eneo flani kulikua na kikao cha walimu tena wakuu wa shule aisee!

Kwanza picha linaanza nimeshuka kwenye gari subaru forester xt sport nyeusi tii inayoshine .aisee ayo macho ya walimu wakuu waliogeuka kuishangaa gari sijapata kuona, nikawapita kwenda duka la mpesa wapo wengiiii kama siafu bado wanashangaa . Ukiwacheki walivovaa sasa wameva kishamba na makofia ya cowboy na mitai ya wapi sijui

Nikaangaza uku na kule nikaona wanazidi kuingia wengine wengi kwa miguu,wengine kwa li costa flani dcm limechoka kishenzi limetokea uko kwimba. mmoja au wawili tu ndo walikuja na private car na zenyewe ni rav v 4 na corola za zamani zimechoka na kukongoroka balaa alafu chafu.aisee ualimu kweli ni kazi ya laaana! Muepushe kabisa mwanao na huu ujinga!!
matusi ya waja baada ya kuvushwa mto na walimu dah 🐒

tunasahau kabisa mchango wa hawa watu kwenye msingi wa maisha yetu, ufahamu, uelewa na mafanikio tulonayo sasaivi 🐒

ni vizuri kuwa watu wa shukran na waungwana kwa walimu regardless hali zao. Lakini wametoa tongotongo mpka upo hapo leo🐒
 
Back
Top Bottom