Nimeelewa kwanini unatakiwa kumheshimu mkeo sana

Mpendane, muheshimiane na mvumiliane kwani wote mnategemeana lakini sio mmoja wenu awe mtumwa kwa mwenzake. No
 
Acha ushamba heshima haitafutwi kinguvu hivo ..... yaani utoe tu heshima hata Kama hastahili hiyo heshima.

Kiufupi huyo mjeshi alikua anakuaandaa kisaikolojia uwe mtumwa wa wanawake kwa jina la mke .

Kwani wewe ukiamua kumletea zawadi yenye sumu huwezi.....? Au umpakie sumu kwenye mkuyange umuimgize huko ndani ....?

Au kumnusisha sumu akilala

Nb
Acha uoga mwanamke apewe anacho stahili.
 
Hivi kwa nini wanaume mnawaza kuuliwa uliwa tuuuuuuuu na wake zenu


Unalala unaamka unapikiwa na mkeo halafu unawaza kuuliwa tuuuuuuuuu


Imeandikwa mke atamlinda mume wake


Hebu kunyweni maji mengi mshushe hofu
 
Natamani kama urudie kuandika vile. Kuna point za msingi ulikuwa unazitoa ila maneno yamechanganyana nimekosa mtiririko.
post # 30 kweli nilitumia simu (smartphone) kumbe nayo inachagua maneno
sasa nimerekebisha
 
Inamaana mwanamme hawezi kumuua MKE anayelala naye kitanda kimoja

Nao wanawake wawaheshimu Waume zao maana kuwaua ni dkk 0
 
Title unasema umeelewa

Story ni ya past

Kero fasihi ni kipaji
 
Shida yako unaonekana unapenda kutukuza wanawake

Umewahi yule mwanaume aliyemchoma mke wake kwa gunia la mkaa yukoje

hii dunia aina mmiliki mtu yeyote akiamua na akapania anakuua
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…