Nimeelewa kwanini Kagame alitudharau

Makosa kidogo, Since you were elected..to be..since you was elected... Because it means one person... Other mistake...you presence....to be.. Your presence.. But this depends on whether it's American or British English.
 
Wana ccm walimtukana kweli Kagame kwa kuwa tu alisema ukweli, serikali yetu ilikuwa ya hovyo, leo tena anasema kweli kuwa Magufuli anajitahidi kupambana na ufisadi wanamshangilia kuwa Kagame ni mwema. Unafiki mbaya kweli kweli umewajaa.
 
mkuu utaitwa mrwanda soon, kumsifia kagame hapa JF unakuwa
mrwanda lakini kumsifia vladimir putin hapa JF wewe sio mrusi
 
ANGEKUWA SMART ASINGENG'ANG'ANA KWENYE MADARAKA
 
Naye kapiga broken ya kutosha ila angekua Magufuli basi nyumbu wote mikia ingekua juu
mi wakati naisoma nikadhani huenda mimi ndo nina broken...kumbe siyo ni 'muheshimiwa'
 
"Ndege wa aina moja huruka pamoja". Kagame, Museveni, Uhuru, Sheni & Magu. (Jumuia ya A. Mashariki) sasa mdundo ni mmoja. Zama zile za 1 kumnyooshea kidole mwingine zimeisha.
 
Wewe ndo hujui kiingereza . YOU SIKU ZOTE INAENDA NA ARE/WERE zikiwa ni auxiliary verb au main verb. Iwe singular au plural sasa wewe ya kusema YOU WAS ndo ulifundishwa na mwalimu wako mkenya? Jinga kabisa. Msirukie tu lugha za watu huku hamjui. Na usikimbilie kusema British english au american. American nayo ipo standard wanayoongea akina obama au sikiliza CNN n.k kama hujui uliza.

Makosa kidogo, Since you were elected..to be..since you was elected... Because it means one person... Other mistake...you presence....to be.. Your presence.. But this depends on whether it's American or British English.
 
Kuwa british au american english kuna badilisha au thibitisha nini hapo? Katika hizo sentence weka tofaut yake tuone. Au unadhan wote humu ni wabovu wa lugha kama wewe? Kosa ni you presence badala ya your presence.


Makosa kidogo, Since you were elected..to be..since you was elected... Because it means one person... Other mistake...you presence....to be.. Your presence.. But this depends on whether it's American or British English.
 
Wajuzi , mambo vipi itakuwa mahusiano yetu na Congo baada kuonekana tunawakumbatia Rwanda na wale M23 Congo wanadai ni Rwanda? Wana Diplomasia waje hapa!!
mahusiano yetu na congo haimaanishi tusiwe na mahusiano mazuri na watu wengine. we can not live in isolation
 
Hivi kitu gani kilitokea wakati kikwete akiwa prezidaa wakahitirafiana na kagame?,na nini kimetokea baada ya JPM kuingia madarakani kukawa na maelewano na kagame?,ni swali tu
 
Kwani kagame alianza kumchukia jk lini?mbona siku zote alikuwa ni rafiki tu na wakayi wote huo hakumkosoa su kumdharau kuwa ni kiongozi gdaifu mpaka jk alipotoa ushauri kwa kagame kuhusu kufanya mazungumzo na hao maadau zake,ndipo alipomuona mbaya?mtu mwenye heshima zake hachukii mtu anayempa ushauri bali huukataa tu huo ushauri
 
Mbona aliyoyasema ni kawaida sana kusikika katika dhifa za marais. Pamoja na uzuri wake ana mapungufu hasa linapokuja suala la DRC. Ame-destabilize sana eastern Congo. M23.

Umeongea point. Naishia hapo.
 

Ni maneno machache tu yenye mashiko, mantiki na utashi wa aina yake uliojawa na uzalendo wa hali ya juu kwa nchi yake yaliyotolewa na MWANAMUME wa Afrika Rais wa Jamhuri ya Rwanda Mheshimiwa Paul Kagame. Akhsante Rais wangu Paul Kagame umedhihirisha kwanini Wanyarwanda tunafananishwa na Wayahudi au wana wa Israel kwakuwa tuna uwezo wa kufikiri wa kiwango cha juu sana. Long live Rwanda and I love Rwanda especially my fellow Tutsi and not Hutu who butchered us terribly during genocide.
 
Jamaa anaitumia Genocide kama sehemu ya kuonewa huruma
Kweli kabisaa mkuu,jamaa kila akiguswa anaikimbilia Genocide kama ngao.

Hua simuelewi kwa yeye kujifanya ndo pekeee anaakili pekee ya kuiongoza rwanda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…