Viper
JF-Expert Member
- Dec 21, 2007
- 3,667
- 1,401
Kila mtu hukutana na mwenza wake katika mazingira tofauti....mwenzenu nimempenda kija wa Kighana ambaye nimekutana nae facebook.Mara nyingi huwasiliana kwa email na simu,nimwenye maongezi ya upole,tumebadirishana historia za mapenzi yetu na kuaidiana kutembeleana soon...anataka niachane na mpenzi wangu wa kitanzania coz hapendi kushea mpenzi.Nimempenda sana ila cjui kama ni kosa kupenda kwa aina hii...ushauri wenu wana JF
sounds like scam for me.. kuwa muangalifu matapeleki wengi sana on-line sikuhizi , bahati mbaya wanatokea africa magharibi wengi wao ! kwa hiyo dadayangu .. haste haste ....! usije ukalia