Nimedondokea kwa kaka niliekutana nae facebook | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimedondokea kwa kaka niliekutana nae facebook

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by flovans, Jul 29, 2011.

 1. flovans

  flovans Senior Member

  #1
  Jul 29, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 181
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  [​IMG] Kila mtu hukutana na mwenza wake katika mazingira tofauti....mwenzenu nimempenda kija wa Kighana ambaye nimekutana nae facebook.Mara nyingi huwasiliana kwa email na simu,nimwenye maongezi ya upole,tumebadirishana historia za mapenzi yetu na kuaidiana kutembeleana soon...anataka niachane na mpenzi wangu wa kitanzania coz hapendi kushea mpenzi.Nimempenda sana ila cjui kama ni kosa kupenda kwa aina hii...ushauri wenu wana JF
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Jul 29, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  angesema anaweza ku shea penzi je????????
   
 3. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #3
  Jul 29, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  facebook ni love without borders
  mimi kuna mdada wa kiganda alinisumbua mpaka nikam block.....
   
 4. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #4
  Jul 29, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  <br />
  <br />
  Nani alianza uchokozi,msianzishe uchokozi ambao hamuwezi kuumaliza
   
 5. Salma osman

  Salma osman Senior Member

  #5
  Jul 29, 2011
  Joined: Feb 22, 2011
  Messages: 164
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Follow ur heart
   
 6. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #6
  Jul 29, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Flovan kuna wanaofanikiwa kuwa na mahusiano thabiti kupitia mitandao ila pia ujue kuna waliolizwa pia kwa style hiyohiyo,wengi wao wana wake zao na gf wao na wanaendelea kujaribu hivohivo,imagine unataka kumwacha bf wk sababu ya huyo na huk mbeleni utakapokuwa na mghana labda usiingie tena facebook anaweza tokea mwingine zaidi ya mghana .tujifunz kuridhika na tulivo navyo coz vizuri viko na wanaendelea kuzaliwa kila siku,ushauri wangu usimwache mpenzi wako
   
 7. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #7
  Jul 29, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  usiache mbachao kwa msala upitao...
   
 8. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #8
  Jul 29, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,673
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  Hebu jibu hili kwanza!
   
 9. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #9
  Jul 29, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Nakushahuri SANA usiachane na mpenzi wako, usiendi Ghana kumuona. Hakikisha yeye anakuja kukuona ulipo sababu ni familiar groung. Akae wiki kadhaa, umsome. Kama unaweza muombe kukutana na ndugu zake kadha online. Kama alikwambia alisoma shule fulani ao University fulani tafuta jina lake kwa old students. kama anafanya kazi jaribu kucheki ni campuni gani. kwenye face book ingia kwa relations zake uwaone wamekaaje.
  Be VERY cautious.
   
 10. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #10
  Jul 29, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  unataka kumwacha jamaa yako wa kitz kisa huyo ni mghana au, vip, umemwambia amwache wa kwake? Acha ulimbukeni, dont lost your beauty, by the way one day for sure you will cry when it happens that you have left your Bf just because of Mghana.
  nakushauri uufuate ushauri wa Gaga. Utakusaidia, acha ucheche.
   
 11. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #11
  Jul 29, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Don't wash your dirty linen in public
   
 12. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #12
  Jul 29, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  mhh nikichek avatar na mada ya mtoa mada..the same same...

  USIKURUPUKE DADA..utalilia choon mende wakucheke

  matapel weng wa pesa na mapenz wanatumia face book....yaan mpk unafikiria kumdiss jamaa yako kwa njema ya face book?

  aujamwona real...labda anaweka picha za mtu mwngne...ata ukiongea nae....anaweza akakufake

  ZIDISHA PENZ KWA BFREND WAKO PLZ...ACHANA NA NDOTO ZA SAA 5 ASUBUI
  nawasilisha.
   
 13. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #13
  Jul 29, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,435
  Likes Received: 19,784
  Trophy Points: 280
  ghana=nigeria....ukikubali kwenda tu ujue umeuzwa.. videmu vya kitanzani a vikiona mtu anaongea kingereza chu*i zinavivuka
   
 14. Keren_Happuch

  Keren_Happuch JF-Expert Member

  #14
  Jul 29, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 1,880
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Be careful mdada....especially na hao wanaotoka west Africa.........
   
 15. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #15
  Jul 29, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Lol!!!!
   
 16. bht

  bht JF-Expert Member

  #16
  Jul 29, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  kuna watu wana mioyo ya chuma....
   
 17. Rogie

  Rogie JF-Expert Member

  #17
  Jul 29, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 6,285
  Likes Received: 3,017
  Trophy Points: 280
  Dah yan mpk unaanza kuwa na fikra na mtu mwingne ujue mtz humpendi..eti amekwambia hapendi kushea mapenzi umwache mpnz wako..nayy je atamwacha wake..minaona km ww huna shughuli ya kufanya..sikia kengele tulia na wako
   
 18. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #18
  Jul 29, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  kwanza we inaonekana kahaba, mtanzania mwenye akili huwezi kuweka mkojo unaonuka kiasi hiki sebuleni. Afu if possible badilisha hiyo avata yako, coz huenda ikasadifu yaliyomo.
   
 19. m

  muhanga JF-Expert Member

  #19
  Jul 29, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 873
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  wow... thats why u r the boss ...so fast in thinking.... i like that!
   
 20. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #20
  Jul 29, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,641
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Imagination ya British Airways to Ghana. Ukifika kule mnaenda kwa Mtogole ya kule. Shauri yako!
   
Loading...