plerocercoid
Member
- Jun 8, 2018
- 46
- 14
Inategemeana na viwango walivyoweka chuo husika. Kama hiyo gpa ndio inakuondoa hapo sawa, kuna vyuo vingine unaweza endelea nayo.Wakuu mimi ni mwanafunz wa diploma mwaka wa pili kozi ya maabala. Kilichonifany niombe msaada kwenu ni kwamba inawezekana mtu akawa na gpa ya 2 na akadisco?
Nahitaj yeyote mwenye kufahamu juu ya hili anisaidie, npo dilemma!
Jinsi ninavyofaham nikwamba mtu kudisco mpaka uwe na gpa chin ya 2 kwa mujibu wa Nacte.. Sijajua kama kuna sheria mpya ndomana nikaulizaInategemeana na viwango walivyoweka chuo husika. Kama hiyo gpa ndio inakuondoa hapo sawa, kuna vyuo vingine unaweza endelea nayo.
#ILA MWANANGU UNATATIZO, UNA DISCO HATA DIPLOMA, UKIFIKA DEGREE ITAKUWAJE? EMBU WEKA SAWA MAMBO?
Tunatumia mfumo wa Nacte..Jinsi ninavyofaham nikwamba mtu kudisco mpaka uwe na gpa chin ya 2 kwa mujibu wa Nacte.. Sijajua kama kuna sheria mpya ndomana nikauliza
Chuo gani?Tunatumia mfumo wa Nacte..
HaydomChuo gani?
Guideline ndohivyo inasema kudisco mpaka uwe chini ya gpa ya 2.. Ndio maana nimeshangaa kwanguKwa hiyo hata masharti ya chuo huyajui! Hukusoma guideline za grades zinavyokokotelewa, na mwisho supp na kurudia ama kudisco? Ushauri rudi mtaani omba tena
Akili zingine siyo za kusoma kafanye mambo mengineWakuu mimi ni mwanafunz wa diploma mwaka wa pili kozi ya maabala. Kilichonifany niombe msaada kwenu ni kwamba inawezekana mtu akawa na gpa ya 2 na akadisco?
Nahitaj yeyote mwenye kufahamu juu ya hili anisaidie, npo dilemma!
Masharti ni ya Nacte na yanafahamika.. Ndomana nkaomba kama kuna mtu anafaham lolote jipya juu ya hayo mashartiKwa hiyo hata masharti ya chuo huyajui! Hukusoma guideline za grades zinavyokokotelewa, na mwisho supp na kurudia ama kudisco? Ushauri rudi mtaani omba tena
Inategemea na sheria za mitihani ya chuo husika, kuna vyuo ambavyo ukipata sup 4 regardless of gpa uliyonayo unadisco, vyou vingine ni sup 5 unadisco. Angalia sheria za mitihani za chuo chakoWakuu mimi ni mwanafunz wa diploma mwaka wa pili kozi ya maabala. Kilichonifany niombe msaada kwenu ni kwamba inawezekana mtu akawa na gpa ya 2 na akadisco?
Nahitaj yeyote mwenye kufahamu juu ya hili anisaidie, npo dilemma!
Sawa..Kama maabala ndo hiyo bora udisco
Amna kweny mfumo wa Nacte tunafanya mtihan wa wizara kila mwaka ambao unasahihishiwa wizaran.. Ukiwa na na gpa chini ya 2 ndo unadiscoau ulicary ukashindwa kuchomoa?