Nimedhalilika ...

Kwanini wewe ulitaka mtu na mume wake waachane? Huo haukuwa ushauri mzuri hata kidogo kwa kuwa haukutafakari mara mbili madhara ya wana ndoa kuachana baadaye inakuwaje
Sio mtu na mke wake,. Labda kama waoane saizi..
Ni mzazi mwenzie na sikua najua kama wakati ananiomba ushauri alikua mjamzito
 
Husubiri upewe, unawakatisha unajipa nafasi. Unawachamba then ukata simu wakutue🀣🀣🀣
Nitajaribu siku nyingine wakinitafutaπŸ˜‚
 
NRNE FOREVER

Achana nao waambie SIKIO LA KUFA HALISIKII DAWAA
 
Nilisahawah mshauri binti mjamzito ivi alitaka kutoa mimba alifanyia kazi ushauri wangu alivyojifungua mi nikala kona maana mission yangu ilikamilika
 
Me sipendagi kushauri shauri watu,. Sema huyu binti nlikua namuona anazo akili kumbe nae ndo walewale tu
Mwenzako anaogopa kuwa single, kukosa uhakika wa huduma, kudharauliwa na wanawake wenzake, n.k

Kushauri masuala ya ndio inahitaji kipaji toka kwa roho mtakatifu
 
😁😁😁😁😁Kmmk hiyo sio familia
 
Me nawaambia mkituliza akili muongee...hasa Mume na mke usije dhu utu kuwashauri kinyume au mbali na hapo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…