JKN ana mungu wake aliyemwabudu,ana dini yake aliyoiamini,kabila lake alilojitambulisha nalo anaserikali yake aliyoiongoza,chama chake alichokiunga mkono lakini alikuwa na wajibu wake kama kiongozi wa Taifa akiuupa kipaumbele umoja wa kitaifa bila kujali yote mengineo aliyonasibika nayo.kwa hiyo hakupenda kujipambanua kama mwana CCM bali kama kiongozi wa taifa.
Hekima hii imewashinda viongozi wengi wa sasa mpaka wanachukiwa na hata wasiopaswa kuwa na uadui nao kwa kuendekeza kujinasibu kwa vikundi vya kidini ,kisias.kikabila , itikadi nakadhalika.
Ni mtazano wangu tu waweza usiwe sahihi!