MSATULAMBALI
Senior Member
- Apr 1, 2012
- 187
- 55
Je, umewahi kuiona PICHA ya Mwl. JULIUS. K. NYERERE akiwa ndani ya SARE ya CCM? Tafuta popote Duniani na ukiipata SARE hiyo ndani ya saa 48 zawadi nono itatolewa. Kama hakuna jiulize, kwanini haipo
watamfotoshop sasa hiviJe, umewahi kuiona PICHA ya Mwl. JULIUS. K. NYERERE akiwa ndani ya SARE ya CCM? Tafuta popote Duniani na ukiipata SARE hiyo ndani ya saa 48 zawadi nono itatolewa. Kama hakuna jiulize, kwanini haipo