Nimechunguza hii kitu sijapata majibu, nisaidien

MSATULAMBALI

Senior Member
Apr 1, 2012
187
55
Je, umewahi kuiona PICHA ya Mwl. JULIUS. K. NYERERE akiwa ndani ya SARE ya CCM? Tafuta popote Duniani na ukiipata SARE hiyo ndani ya saa 48 zawadi nono itatolewa. Kama hakuna jiulize, kwanini haipo
 
Mwalimu hakuwa mnafiki, viongozi wetu wa chama cku hizi kuvaa uniform wanadhani ndi mapenzi kwa chama......binafsi sijawahi kuona labda tuendelee kusubiri pengine wapo waliowahi kumuona.
 
JKN ana mungu wake aliyemwabudu,ana dini yake aliyoiamini,kabila lake alilojitambulisha nalo anaserikali yake aliyoiongoza,chama chake alichokiunga mkono lakini alikuwa na wajibu wake kama kiongozi wa Taifa akiuupa kipaumbele umoja wa kitaifa bila kujali yote mengineo aliyonasibika nayo.kwa hiyo hakupenda kujipambanua kama mwana CCM bali kama kiongozi wa taifa.
Hekima hii imewashinda viongozi wengi wa sasa mpaka wanachukiwa na hata wasiopaswa kuwa na uadui nao kwa kuendekeza kujinasibu kwa vikundi vya kidini ,kisias.kikabila , itikadi nakadhalika.
Ni mtazano wangu tu waweza usiwe sahihi!
 
Back
Top Bottom