Nimechoshwa na IDM

Mr Q

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
22,549
Reaction score
51,861
habarini wakuu. naomba kujua kama kuna alternative software ya idm kama ipo naomba link tafa dhali. maana idmm inanisumbua sana
 
Mkuu.@Mr Q Mbona huelezi kwa ufasa wa maneno?inakusumbuwa kitu gani hiyo IDM?

mkuu nashukuru kunipa swali la mwongozo. ni kuhusu serial numbers. na niliwahi kuchukua keys ulizo zitoa kwenye thread moja hivi, ndipo tatizo lilipo anzia. nilipata ujumbe idm has been registered with fake serial number.
nilipo uninstall naku install tena niakaambiwa idm has not beeen registered fo 30 days naomba kama kuna softiware nyingine auujanja wa kundokana na tatizo hili unisaidie
 
 
Google kurram's softwares, pale utapata idm, pia kuna dap downloader na zote zipo registered.
 
chopeko na anjnr nashukuruni kwa mawazo yenu. Naanza kuyafanyia kazi. Ingawaje niliwahi kufuata steps kama za mkuu chopeko ndipo nilhpata ujumbe usemao idm has not been registered for 30 days idm is exting hiyo ni baada ya usumbufu wa kuniomba keys. Ngoja nijaribu tena. Nitaleta majibu
 
Last edited by a moderator:
Haina shaka mkuu we kama inazingua mda c mrefu ntakutupia mzigo wa uhakika...ila from what i know idm is the best download manager!!!!! usiipige chini iko super hiyo mambo!!!1
 

Sema tu ni mambo ya ID fake na huu utengano wa kimazingira uliopo kati ya wana jamvi. Mtu unaweza shindwa utuo shukrani zako kwa njia gani. Kitu kinacho nifanya nitoeshukrani zangu kwa kusema asanteni nyote mnaoendelea kunipa mawazo ya nini cha kufanya. Mola awaongezee.
 
Haina shaka mkuu we kama inazingua mda c mrefu ntakutupia mzigo wa uhakika...ila from what i know idm is the best download manager!!!!! usiipige chini iko super hiyo mambo!!!1

Pamoja sana. Ninaendelea kufuata ushauri wenu. Nitaleta majibu ya solutioni ipi imetatua tatizo linalo nikabili.
 
Mkuu chopeko nimejitahidi kufuata steps zote bila mafanikio. Lakini steps hizohizo zimekuwa msaada mkubwa kwa rafiki zangu wengi tu. Walio kua wakihangaika kama mimi. Kama unaweza naomba unitupie huo mzigo. Itakua vyema.


SHUKRANI.
Shukrani zangu zimwendee Chief_mkwawa kwakunipa mbadala wa IDM naona inapiga kazi. Hasa ukizingatia nipo kwenye mkondo wa wireless.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mr Q, Mkuu chopeko alikupa ushauri hapo juu (post no. 4), je ulifanikiwa?

Kwa upande wangu Sikufanikiwa kwa asilimia 100 lakini umekuwa msaada mkubwa kwa rafiki zangu. kama nilivyo kwisha kuandika.
 
Last edited by a moderator:
habarini wakuu. naomba kujua kama kuna alternative software ya idm kama ipo naomba link tafa dhali. maana idmm inanisumbua sana
Mkuu kama upo tayari uppatiwe idm ambayo ni full cracked haihitaji registration wala key we ni pm nikutumie, ila sharti ni moja ili iweze kufanya kazi unahitaji kufanya installation ya operating system upya vinginevyo work done is equal to zero, kama upo tayari nipm haraka umalize ahida yako ila tu kwa kufuata sharti hilo tu
 

hilo shart mkuu ni gumu sana, me nina IDM full wala hai hitaji ku install OS upya
 
Kwa upande wangu Sikufanikiwa kwa asilimia 100 lakini umekuwa msaada mkubwa kwa rafiki zangu. kama nilivyo kwisha kuandika.

Mkuu tayari umepata ifumbuzi wa IDM ama bado??
 
mkuu NingaR naomba ufanye mambo basi nita shukuru sana.
mkuu WAHEED SUDAY nashukuru kwa ushauri wako.
 
Last edited by a moderator:
mkuu NingaR naomba ufanye mambo basi nita shukuru sana.
mkuu WAHEED SUDAY nashukuru kwa ushauri wako.

Mr Q kwa sasa niko mbali na computer but nakuahidi mara tu nikifika nita kutumia naomba unitumie E-mail at ningar5@yahoo.com ili nikutumie hiyo IDM, pia kabla huja install hiyo IDM itabidi u disconnect internet na umake clean unistallation ya IDM iliyopo kwa kutumia unistalling software kama vile Revo Unistaller(just search it utaipata) pia kumbuka ku delete registry files wakati una unstlall(hapa unatakiwa wakati IDM ime be unstalled iki uliza restart system ukatae then delete remaining files ndo u restart) baada ya hapo un zip hilo folder la IDM ntakalo kutumia then kuna maelekezo ndani yake.


najaribu kutafta site niliko itoa hiyo IDM nikupatie saivi kama ntaweza.

Okay nmeipata download hapo chini.
IDM 6.12 Build 25 + Crack


CONDITION NI KUA IDM HII USI UPDATE HATA KIDOGO ITAKULA KWAKO TENA.
Ukifanikiwa usisahau kuleta feedback Mr



sasa nina IDM 7.1 registered naifanyia kazi kama haito leta tabu nitakutumia, hii nilipewa na jamaa mmoja hivi so sina source yake from internet.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…