Usinifokee
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 2,502
- 3,522
Shukuru Mungu msumari haukua na tetnas kuna dogo alijikata na bati asubuh wakazarau wakampulizia pafyum t usiku mguu ulivimba wanampelek hospt wakaambiwa wamesgachelewa alifariki usku ule uleWe ulieniambia nitakufa mbona napumua
Mkuu pole sana..
Umejichoma mda gani na umetumia huduma gani ya kwanza. Ya
Sa mm nko kijijin nlichemsha chumvi na makalekale nikaloweka mguu, ndo huduma ya kwanza ya kisukuma hii, kingne am too old huwa tunachoma TT zle za begi wakati wakujifungua, hii ya kidonda ndo skujua ikojeShukuru Mungu msumari haukua na tetnas kuna dogo alijikata na bati asubuh wakazarau wakampulizia pafyum t usiku mguu ulivimba wanampelek hospt wakaambiwa wamesgachelewa alifariki usku ule ule
tetnas ikienea mwilin hakuna matibabu ni kofo tu
Unaleta mada alafu unajibu kwa kusua sua ... Una wazimu wwSa mm nko kijijin nlichemsha chumvi na makalekale nikaloweka mguu, ndo huduma ya kwanza ya kisukuma hii, kingne am too old huwa tunachoma TT zle za begi wakati wakujifungua, hii ya kidonda ndo skujua ikoje
Tetanus gani hiyo ya kusambaa kasi hivyo mkuu?Shukuru Mungu msumari haukua na tetnas kuna dogo alijikata na bati asubuh wakazarau wakampulizia pafyum t usiku mguu ulivimba wanampelek hospt wakaambiwa wamesgachelewa alifariki usku ule ule
tetnas ikienea mwilin hakuna matibabu ni kofo tu
Tetanus hii hii unaiyoijua ww mkuu ni mbay san hasa kwa watt wadogoTetanus gani hiyo ya kusambaa kasi hivyo mkuu?