Nimechomeshwa mahindi

Alikuw ana edit photo Sasa kaogop jinsi alivyo na uko social media tofauti Sasa ww usiwaze tafuta mwingine
 
Pengine hana confidence ya kukutana na wewe live
nahisi hana confindence mkuu...maana kipindi nampigia simu nikimuuliza upo home? anajibu ndio...ila ninapomwambia basi nakuja saa hii kukuona anasema ametoka kidogo hayupo home
 
Sina Uhakika Kama Kijana Mtu mzima utaitwa nyumban kwa binti kama ndio appointemnt yenu ya kwanza
Sory but nahis your still young bro wewe na huyo Mndee wako endeleen kukua taratbu
 
Braza atakuwa amekaa sehemu anakuchora, Ana wewe ni jitu la miraba minne baada ya ku kuona ameogopa unaweza kukirarua na kukichanachana KIPOCHI manyoya chake ndio maana kalala mbele or vice versa
yawezekana
 
Kuna siku utakutana na mwanao ama dadaako kwa style hiyo ya utongozaji
 
Sina Uhakika Kama Kijana Mtu mzima utaitwa nyumban kwa binti kama ndio appointemnt yenu ya kwanza
Sory but nahis your still young bro wewe na huyo Mndee wako endeleen kukua taratbu
ths was our first appointment...mengine yangefata baada ya kuonana live
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…