Hivi sasa uko O level au A lavel?Habari wakuu....
Moja kwa moja niende kwenye mada tajwa:-
Kuna binti fulani tulikuwa tunawasiliana through social network...na hatujawai onana live ...tunaonana tu mitandaoni..
Tumeanzisha mausiano ya urafiki kimtandao takribani miaka kama mitatu(3).
Sasa kilichonitatiza mpaka nikaandika uzi huu...
Tulipanga mimi na binti huyo tuonane...baada kutaka kumuona...alinitumia text kwamba home kwao tuonane...maana mimi binti huyo tunaishi maenoleo ya karbubkama Kil.3 ya umbali...basi baada ya kumaliza mishe zangu nikaenda kwao..kufika tu nikamtumia text kwa nimefika atoke nje..lakn wapi nikampigia simu hapokei...nikituma meseji hajibu dah...mwenzio nilisubiri sana lakini binti hakutokea aseee imeniuma sana...mbaya zaidi yy ndo kunitumia text kwamba niende kwao sasa nashangaa imekuwaje...
Hivi wakuu...nambieni Hii ni dharau ama ni uwoga tu wa kuonana?
Usiangaike,inaweza kuwa ulikuwa unawasiliana na wakiume mwenzio,ndio maana imekuwa shida kwake kuonana na wewe.Kuna binti fulani tulikuwa tunawasiliana through social network...na hatujawai onana live ...tunaonana tu mitandaoni..
Kwanini ulinichomesha mahindi lakini?Yeye alitaka kukuona kwanza bila wewe kumuona
Hajatokea sababu
1.Hajavutiwa na wewe kaona ya nini umuone ama
2.Uko too good looking/handsome hadi kajistukia alivyo mbaya akaamua kubadili gia angani
Yote kwa yote muulize kwanini hakutokea
Nahisi hivyo...kaona too smart kaogopa...Yeye alitaka kukuona kwanza bila wewe kumuona
Hajatokea sababu
1.Hajavutiwa na wewe kaona ya nini umuone ama
2.Uko too good looking/handsome hadi kajistukia alivyo mbaya akaamua kubadili gia angani
Yote kwa yote muulize kwanini hakutokea
Sina uhakikaKwanini ulinichomesha mahindi lakini?