Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,789
- 51,557
Vibaya mno😁😁kwa kauli hiyo atasubiri sana
Vibaya mno😁😁kwa kauli hiyo atasubiri sana
Yani hapa ndo mimi kabisaaa.Honey[emoji860]
Honey njoo basi kipenzi.
Najua umeshatafuta hela ya Mahari
Njoo sasa
Tujenge familia
Kazi anayoVibaya mno😁😁
Mrembo njoo tujenge malengo, si unipe namba yako nikupigie weekend weekend baby🎶 na kama utanipenda sijari shida utazonipa🎶Honey[emoji860]
Honey njoo basi kipenzi.
Najua umeshatafuta hela ya Mahari
Njoo sasa
Tujenge familia
Nitakuja aisee lips hizo dah basi tu....Wikend hii naachia uzi wa kutafuta mume.hivi kumbe ni rahisi namna hii[emoji16][emoji16]
[emoji41][emoji41]
[emoji2222][emoji2222]
Mjiweke tayari[emoji126][emoji126]
Kama wewe ni bikira njoo PMHoney[emoji860]
Honey njoo basi kipenzi.
Najua umeshatafuta hela ya Mahari
Njoo sasa
Tujenge familia
Bila picha hii habari itakuwa umbeaHoney[emoji860]
Honey njoo basi kipenzi.
Najua umeshatafuta hela ya Mahari
Njoo sasa
Tujenge familia