Nimechoka Upweke...

Status
Not open for further replies.
Wewe una miaka ngapi na una nini ambacho ni outstanding?
Unataka nitangaze hapa ili iweje? Hujui 40 ndo inabidi vitu vya muhimu uwe navyo? Mm ni wa kike ila siwezi fika 40 yrs bila nyumba trust me.
 
Unataka nitangaze hapa ili iweje? Hujui 40 ndo inabidi vitu vya muhimu uwe navyo? Mm ni wa kike ila siwezi fika 40 yrs bila nyumba trust me.
Kwa hiyo mkuu unaona wale wazee wenye 50 years na bado wamepanga hawana nyumba ni vichaa na wajinga na wao wanacheza hawatafuti au maisha haya hayana mwenyewe ni kumuomba Mungu unaweza fika hiyo 40 achana na kuwa na nyumba bali hata kodi tu ikawa inakuzingua kiaina
 
Hayo ya vichaa, sijui wajinga umesema wewe hakuna sehemu nimetaja hivyo.
 
Naomba uniruhusu nikutukane....ivi kilo ndo unene??? Duuuh mliambiwa msome biology O'level mkazarau onana sasa upupu unaoandika humu
 
Hv ushapata mkuu
 
Ukishampata cha kwanza akulipie hilo deni.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…