Nimechoka sana na maisha

Nimechoka sana na maisha

ms eve

New Member
Joined
Nov 27, 2018
Posts
4
Reaction score
27
Hello Jf members this is my first topic to write here. I never thought that one day I would write anything here but until today where I see life becoming so cruel to me
.
.
Naenda kuumaliza mwaka vibaya sana yaan sina raha ya maisha hata kidogo sioni sababu ya kuendelea kuishi duniani coz nothing is making sense to me.
.
.
My life is so disorganized. Am in a period where am facing karma that I created myself years back. Am employed but am not enjoying my salary, am in relationship but still feeling lonely.
.
.
I have only one prayer to God now. Kila siku namuomba Mungu achukue roho yangu ili niweze kupumzika na hizi shida za dunia. Yan hakuna kitu kizuri ninachokiona duniani. Madeni yameniandama, marafiki wamenitenga sasa bado nafanya nini duniani jamani? Sina msaada wowote duniani ni heri Mungu achukue roho yangu nife nijue moja. Siwezi kujiuua kwa sababu naamini hiyo ni dhambi ambayo itanipeleka kuzimu moja kwa moja.
.
.
Yan huwa najiuliza Mungu alinileta duniani ili nifanye nini
 
OK R.I.P
 
Wapo watu wanashida kuliko zako,,, wapo watu wakiamka asubuhi hawajui kama watakula au laaa ,,,wanalala pale usiku unapowakutia wanakula kole kilichopo mbele yao ,,,wee kufa uonee huko mbingunii kuna vimalaika vnapiga banah
 
badala ya kumuomba Mungu ufe nakushauri uifanyie kazi hiyo sentensi yako ya mwisho ,"Mungu ulinileta duniani ili nifanye nini?". Kila siku uwe unamuuliza Mungu na ipo siku atakupa jibu. niliwahi kusikia kwamba kutaka tamaa ni dhambi isiyosamehewa, usikate tamaa maana umeumbwa kwa sababu maalum, sali sana ili uijue hiyo sababu ya kuumbwa kwako. Roho Mtakatifu akuongoze.
 
Hello Jf members this is my first topic to write here. I never thought that one day I would write anything here but until today where I see life becoming so cruel to me
.
.
Naenda kuumaliza mwaka vibaya sana yaan sina raha ya maisha hata kidogo sioni sababu ya kuendelea kuishi duniani coz nothing is making sense to me.
.
.
My life is so disorganized. Am in a period where am facing karma that I created myself years back. Am employed but am not enjoying my salary, am in relationship but still feeling lonely.
.
.
I have only one prayer to God now. Kila siku namuomba Mungu achukue roho yangu ili niweze kupumzika na hizi shida za dunia. Yan hakuna kitu kizuri ninachokiona duniani. Madeni yameniandama, marafiki wamenitenga sasa bado nafanya nini duniani jamani? Sina msaada wowote duniani ni heri Mungu achukue roho yangu nife nijue moja. Siwezi kujiuua kwa sababu naamini hiyo ni dhambi ambayo itanipeleka kuzimu moja kwa moja.
.
.
Yan huwa najiuliza Mungu alinileta duniani ili nifanye nini
Ni karma gani uliietengeneza huko nyuma inayokutesa mpaka ufikie hatua hiyo?
 
Pole sana mkuu embu gusia kidogo chanzo cha hayo yote ni nini? Pengine ukapata amani ya moyo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom