Mungu amekuletea Mwenza, Maana sijui jana ulikuwa unalalama kuona wivu kuona bebez wakubebishana..Pona kwanza malaria ndo uanze kutafuta mwanamke yeyote yule
Tatizo mdogo tungefaanaMungu amekuletea Mwenza, Maana sijui jana ulikuwa unalalama kuona wivu kuona bebez wakubebishana..
umejuaje ni mdogo?Tatizo mdogo tungefaana
Wacha bwana!!!Chukua goma hilo
duuuhh mmekwisha kumdukua ""??Hata wiki 2 hauna... kitengo kaziniView attachment 877720
Dado kivip wakati mwenza hajapatikana?basi kuwa double " tu .. Yanini upate shida
Duniani kuna mamboKama ningekuwa nataka wa fb ningekuja huku? Mbona watanzania tunabaniana ridhiki hivi.?
NitakuchekiPole kwa upweke, ukikosa nicheki
#dalaliwamapenzi
ukikaa unaji text mwenyewe", Unajiuliza baby vipi u-meshakula" ... then wajijibu bado My sugar", sina hamu ya kula leo".... hahaa ukifanya hivyo hautoweza tena kuuona upwekeDado kivip wakati mwenza hajapatikana?
Are you kidding? Try to be niceukikaa unaji text mwenyewe", Unajiuliza baby vipi u-meshakula" ... then wajijibu bado My sugar", sina hamu ya kula leo".... hahaa ukifanya hivyo hautoweza tena kuuona upweke
Nimeona picha yakeumejuaje ni mdogo?
Dooh yangu umeona?Nimeona picha yake
Siyo atunishe kwanza wallet ndo aanze kutafuta mwanamke yyte yule.Pona kwanza malaria ndo uanze kutafuta mwanamke yeyote yule
Embu nionyesheDooh yangu umeona?
waridiua nae anatafuta mwanaume ila wa kumuoa.Mambo vipi wadau, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, Mimi nimechoka kuwa peke yangu, natafuta mwanamke yeyote yule, ilimrad tupendane sitaki usumbufu, karibuni atakae kuwa tayari.
Anaweza akakosa mwanamke bure akisubiria hilo. Apone tu kwanza sisi tuko wengiSiyo atunishe kwanza wallet ndo aanze kutafuta mwanamke yyte yule.
Haya amekusikia.Anaweza akakosa mwanamke bure akisubiria hilo. Apone tu kwanza sisi tuko wengi