Mpende mwanaume,kamwe hatokutenda.
tafuta mwanamke ambaye ni mwalimu nadhani atakufaa
Unanipa sh ngapi nikikuitia?Hujambo auntie? Niitie mama yako kuna issue nataka kumuambia. Ila usimstue daddie Excel
Why dadiiiiii?miss you mamii.. vp nimeongea overweight ama vipi mwanangu? lol.
niambie nifute kauli!
I second you. Inabidi mwenye thread ujitafakari upya maana kuna wanaume huwa na character za ajabu utakuta hata ukipata mtu akakuvumilia mkaoana ndoa itakua ya tabu na pengine mbele ya safari ivunjike. Kuna wanaume huwa na gubu, dharau, masimango, kauli chafu alafu na kitandani bado ni tabu. Kila kitu ni ubabe sasa pata picha huyu mtu anaishije na mwanamke hata awe malaika. Halafu unakuta pia anajiona yuko perfect wanawake ndo shida aisee itakula kwako.I think its a time to check ur self in and out,,,mabadiliko daima huanza na ww,jua kasoro na madhaaifu yako kwenye mahusiano,chunguza kwa kina sababu za mcngi ninazofanywa uachwe kabla hujapanga kuwa na muingine