Mtombe theb usepe
teh teh teh "eat and run mmmh..."
Mtombe theb usepe
Mkuu wewe taaluma ako sheria eh??
Mtombe theb usepe
Ahaaaaa hacha kumdanganya mwenzako,,waalimu wa siku hizi ndo vicheche mpaka basi!!!tafuta mwanamke ambaye ni mwalimu nadhani atakufaa
Kuna uwezekano wewe ndio tatizo, hebu chunguza afya na usafi wako katika kinywa, kikwapa, kwa babu.
Pili, jichunguze labda hunyooshi mkono wako ipasavyo, ujaribu kunyoosha mkono uwafikie vizuri.
Tatu, faragha hali si nzuri sana. Unakuwa mchovu haraka, huna utundu wa kuwafikisha eldoret. Kumbuka wadada wasipofika eldoret hata uwape nini watatatoka tu ili kuridhishwa.
...fanya assignment hiyo kwanza ujue ni wapi haupo sawa...
Wana MMU nakuja jukwaani kueleza tatiyo langu katika mapenzi ni kwamba kila nikipata msichana huwa ananitenda tu kwa kutokuwa muaminifu kwenye uhusiano swali nifanyeje niepukane na kutendwa na mabinti naomba ushauri wenu
Hahahahahahaha labda anayejitambua though ni wachache sana nowadaysMpende mwanaume,kamwe hatokutenda.
Jiangalie pengine unamapungufu haiwezekani ukimbiwe tuuu lazma kuna kituuu
hahahahhah hamna kitu nipo fresh