Nimechoka kutendwa na mabinti.

Mpende mwanaume,kamwe hatokutenda.
 
tafuta mwanamke ambaye ni mwalimu nadhani atakufaa
 
I think its a time to check ur self in and out,,,mabadiliko daima huanza na ww,jua kasoro na madhaaifu yako kwenye mahusiano,chunguza kwa kina sababu za mcngi ninazofanywa uachwe kabla hujapanga kuwa na muingine
 
Kuna uwezekano wewe ndio tatizo, hebu chunguza afya na usafi wako katika kinywa, kikwapa, kwa babu.

Pili, jichunguze labda hunyooshi mkono wako ipasavyo, ujaribu kunyoosha mkono uwafikie vizuri.

Tatu, faragha hali si nzuri sana. Unakuwa mchovu haraka, huna utundu wa kuwafikisha eldoret. Kumbuka wadada wasipofika eldoret hata uwape nini watatatoka tu ili kuridhishwa.

...fanya assignment hiyo kwanza ujue ni wapi haupo sawa...
 

Haahhahaaha kinywa kikwapa na msitu noma sna
 
Wana MMU nakuja jukwaani kueleza tatiyo langu katika mapenzi ni kwamba kila nikipata msichana huwa ananitenda tu kwa kutokuwa muaminifu kwenye uhusiano swali nifanyeje niepukane na kutendwa na mabinti naomba ushauri wenu

Jiangalie pengine unamapungufu haiwezekani ukimbiwe tuuu lazma kuna kituuu
 
Accrdint to ma research wewe ndiye mwenye matatizo,,nilishapataga mpnz wa namna yako yeye kila siku kulalamika kutedwa na mie nikaja mtenda vile vile jiangalie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…