JUSTICE OF APPEAL
Member
- Apr 15, 2014
- 47
- 5
Tulia tafuta binti mwenye tabia njema usiwe na haraka. Mabint weng sasa wanaigiza kupenda
mtenda akitendwa bana, huona kaonewa!
Do you think that you are that much perfect brother?
viumbe dhaifu hivi, vinaweza kufinyangwa kivyovyote tu bila kujali umri wao!
kati ya viumbe visivyokua kimalezi dunia hii, basi mwanamke ni namba moja!..
basi tu wanaume tunashindwa kuwabadili hawa wasaidizi wetu...

Hakuna msichana asiyetulia badilisha tuu mfumo wako Wa maisha ktk mapenz pengine itasaidia
Mhhhhh Dadiiiiii...
Wana MMU nakuja jukwaani kueleza tatiyo langu katika mapenzi ni kwamba kila nikipata msichana huwa ananitenda tu kwa kutokuwa muaminifu kwenye uhusiano swali nifanyeje niepukane na kutendwa na mabinti naomba ushauri wenu