nimechoka kuonewa...hahahaa

Na atazidi kuonewa sana!

Alichopaswa kufanya ni kutanua Ubongo na siyo kutanua Nyama.Malcom X anakuambia "If your mind is a weapon, You are un armed".
 
Unaweza ukajikuta unaacha kuonewa na wababe mtaani afu unaanza kuonewa na madem zako... Maana nasikia eti Hitler alikuwa anachezea vitasa tu mbele ya papuchi yake...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…