Nimechoka kumtetea Dube

Kibaya zaidi support ya wananchi imeshuka sana.
 
Kibaya zaidi support ya wananchi imeshuka sana.
Sana, na majibu yalipatatikana siku ile ile Hersi anatoa michango ya wanachama na mashabiki wa Yanga kuichangia CCM. Mashabiki wengi walionesha kutoendelea ku support timu kwa kutoingia uwanjani, kununua jezi, n.k. Ukijumlisha na mwenendo wa nchi yetu na hakuna klabu iliyoonesha kusimamia na wananchi kutoa hata pole ndio kabisa. Kubomoa ni jambo rahisi sana kuliko kujenga ni jambo la dakika tu.
 
Timu bado mbovu mno yaani fitness nayo hakuna, nimeangalia mechi mpaka nikaogopa jinsi tutakavyokula za kutosha klabu bingwa. Inawezekana iina laana ya kuchangia CCM ndio inaitafuna hii timu tutalaumu kila kocha msimu huu.
Mistari miwili ya mwisho ndo kila kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…