joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 19,399
- 41,521
Timu haina number 10,Dube mwenyewe leo hajapata nafasi ya maana,Doumbia mzito hana kasi hata kufanya maamuzi anachelewa. Ndio maana wakati wa usajili huwaga sipendagi kuwasikiliza wasemaji mara nyingi wanatuingiza chaka.Kwanza niombe radhi Kwa mashabiki na Wanachama wenzangu wa Yanga, ambao tumekuwa tukivutana kuhusu kiwango cha Dube
Me ni shabiki mvumilivu mno
Dube havumiliki
Ni mchezaji wa kawaida mno
Dube hawezi kutusaidia mechi ya Ahly, FAR Rabat n. K
Kwa striker huyu tumekwisha wakuu
View attachment 3499532
Kweli kabisa mkuuTimu haina number 10,Dube mwenyewe leo hajapata nafasi ya maana,Doumbia mzito hana kasi hata kufanya maamuzi anachelewa. Ndio maana wakati wa usajili huwaga sipendagi kuwasikiliza wasemaji mara nyingi wanatuingiza chaka.
Yanga msimu huu ilikuwa inahitaji kujaza nafasi ya Ki,Ikangalombo na Musonda na kocha angebaki yuleyule. Ila ndio hivyo kila msimu wanataka kusajili wapya ili watrend kwenye social media na vyombo vya habari, wakati timu ilikuwa haihitaji mabadiliko makubwa.
Alivyo ingia yule dogo na Ecua ndipo mpira ukabadilika.Ila kwa Yanga hii,tusiwe na matarajio makubwa CAF ila kocha anatakiwa apewe ushirikiano dirisha dogo.
Yanga ilipaswa ipate mechi tatu kabla ya kuingia kwenye mchezo wa klabu bingwa ili kuongeza fitness na muunganiko.Timu haina number 10,Dube mwenyewe leo hajapata nafasi ya maana,Doumbia mzito hana kasi hata kufanya maamuzi anachelewa. Ndio maana wakati wa usajili huwaga sipendagi kuwasikiliza wasemaji mara nyingi wanatuingiza chaka.
Yanga msimu huu ilikuwa inahitaji kujaza nafasi ya Ki,Ikangalombo na Musonda na kocha angebaki yuleyule. Ila ndio hivyo kila msimu wanataka kusajili wapya ili watrend kwenye social media na vyombo vya habari, wakati timu ilikuwa haihitaji mabadiliko makubwa.
Alivyo ingia yule dogo na Ecua ndipo mpira ukabadilika.Ila kwa Yanga hii,tusiwe na matarajio makubwa CAF ila kocha anatakiwa apewe ushirikiano dirisha dogo.
Yule jamaa naye ni kama ana mechi na mechi zingine zinamkataaga mbaya.Siku hiyo boyeli aanze
Acha kabisa Wananchi tumepatwa this time.Kwa kifupi Yanga tumepatwa mwaka huu.
Huyo Dube umechelewa sana kumkataa.
🤣🤣🤣Nimeomba radhi mkuu
Yanga bingwa
Mtani hivyo hapo roho yako bardiiii. 😃Kusajili ni kamari.
Usajili wa mwaka huu Yanga imepotea
Hilo nafahamu ila Yanga imekuwa sio ile ya Gamondi, sio ile ya Miloud. Ya Miloud ilikuwa ni strong kwenye ulinzi na kushambulia. Ila hii ni kama aliyekatwa kichwa inajiendea hovyo hovyo tu. Anawezekana ikawa ni msimu mbaya sana kwa Yanga na msababishani ni Hersi.Wachezaji wanaenda international break
Tumpee muda ana kitu badoYule jamaa naye ni kama ana mechi na mechi zingine zinamkataaga mbaya.
Kila baya liwakute wanayanga🤲Mtani hivyo hapo roho yako bardiiii. 😃
Mlipoteza muda kulaumu kocha mkidhani yeye ndiye tatizo, kumbe tatizo kubwa zaidi ni timu yenu.Nimejikuta hata na mie naumiza kichwa huko Champions League itakuwaje sababu kiufupi timu yetu ipo ipo tu kwa sasa yaani matokeo tunayapata kwa shida mno.
Uko sahihiHilo nafahamu ila Yanga imekuwa sio ile ya Gamondi, sio ile ya Miloud. Ya Miloud ilikuwa ni strong kwenye ulinzi na kushambulia. Ila hii ni kama aliyekatwa kichwa inajiendea hovyo hovyo tu. Anawezekana ikawa ni msimu mbaya sana kwa Yanga na msababishani ni Hersi.
1kumuacha Miloud kizembe na kuiingiza Yanga katika laana kwa kuchangia CCM.
Kiufupi adriz ni striker bora kuliko dube masampina😂Aisee kama jana kuna vichwa anapiga mpaka unajiuliza huyu jamaa vipimo vyake na goli vikoje.