Utaanzaje kulala chini wewe!?Wakati mimi nimechoka kulala kwenye kitanda nataka nikifungue ni lale chini
Nimechoka kulala juu na tamani nilale chini hata mwezi mmojaUtaanzaje kulala chini wewe!?
Mh? Umechoka kulala juu? Unatamani kulala chini, sio? Shauri yako? Humu ndani wamo wanakusikia!Nimechoka kulala juu na tamani nilale chini ata mwezi mmoja
Maisha haya yasikie tu kwa mwenzio
Muda mwingine tunajitahidi kupanga malengo na kuyapambanua yatimie tukipiga hatua 3 mbele tunavutwa na kurudishwa hatua 6 nyuma na matatizo yasiyo epukia
Nimeshalala sana chini na wife mwaka unaenda kukata Sasa bila ya kitanda
Naweka Nia mpaka mwezi huu unaisha ntalala juu ya kitanda hapa nina 35 elf ngoja nianze kununua mbao niwe naweka mpaka zikienea napeleka kwa fundi sofa,
Hi kazi yangu kwa mwezi inaniingizia angalau si chini ya laki 2 ukitoa 80 ya Kodi ya ofisi na nyumbani,
Shida matatizo yananisonga japo kiafya tunamshukuru mungu tuko poa
Mkuu! Huyu jamaa top ya kipato chake ni 200k. Sasa akitoa 1.5k ni kujiua! Ukizingatia ana mke! Toa kama sadaka mkuu!Uko wapi mkuu nina kitanda na kabati havina kazi nipooze kidogo tu kama laki na nusu usafiri nina ndugu yangu ana lorry anaweza kubeba kitanda ila sio kabati labda ulifuate wewe
Hata anayelala chini na anatamani kulala juu humu ndani wamo na wamemsikia.Mh? Umechoka kulala juu? Unatamani kulala chini, sio? Shauri yako? Humu ndani wamo wanakusikia!
Maisha haya yasikie tu kwa mwenzio
Muda mwingine tunajitahidi kupanga malengo na kuyapambanua yatimie tukipiga hatua 3 mbele tunavutwa na kurudishwa hatua 6 nyuma na matatizo yasiyo epukia
Nimeshalala sana chini na wife mwaka unaenda kukata Sasa bila ya kitanda
Naweka Nia mpaka mwezi huu unaisha ntalala juu ya kitanda hapa nina 35 elf ngoja nianze kununua mbao niwe naweka mpaka zikienea napeleka kwa fundi sofa,
Hi kazi yangu kwa mwezi inaniingizia angalau si chini ya laki 2 ukitoa 80 ya Kodi ya ofisi na nyumbani,
Shida matatizo yananisonga japo kiafya tunamshukuru mungu tuko poa
Asa ukaoa faster ili iweje!??Maisha haya yasikie tu kwa mwenzio