nlim2ma mtu TCU siku ya alhamis wakamwambia eti watarekebisha j5.Khs chuo nko SUA 'wildlife'sir chemi nawe niwa chuo kipi mkuu? waliosema j5 ni raia wapi?
Mkuu hilo tatizo ni la wengi hata huyu jamaa anayejiita freeman patrick ni jamaa angu hilo tatizo limenpata km na ana maelezo tosha kuhuxu hi mambo km vp mcheki fb kwa jina la gabriel patrick au mcheki hapa 0713122995. Kw vp mcheki kabla hujapoteza nauli yako kuwafwata.