Kila la heri mkuu,unajua Mtu kufeli form 4 Mimi binafs nasema ni kutokujituma,Mimi binafs kuna dogo mmoja alipataga ziro,anajifanya sharobaro,kaingia street maisha magumu,akajipanga ku reseat,yanh alipata division two,na tokea hapo akawa serious na shule,now anafanya masters
Kama umejigundua kila la heri mkuu,jipange upige shule,maisha bila shule mkuu utajuta.