Nimechoka!!!KILA SIKU RA,EL,AC!

Hadi wakati huu ana list 2 za mafisadi,naweza kuziita episode 2 katika series yake iliyomtoa kisiasa ya MAFISADI! Anasema ana ushahidi wa ufisadi wa kila mtu ambaye yupo kwenye hizo lists zake! Ninachomshangaa huyu padiri muasi hatoi huo ushahidi hadharani watanzania tuuone ili 2tambue jinsi gani majangili wanao2tawala wanatuibia rasilimali zetu,au kama hataki kuuonyesha si akaukabidhi kwa prosecutors ili hao jamaa wafikishwe mbele ya sheria,na hao prosecutors wakizingua atuambie wananchi 2andamane hadi kieleweke! Kwa hii staili yake ya kututajia mafisadi kila siku bila kutuonyesha ushahidi au kuupeleka ushahidi mahakamani namwona kama mwimba mipasho flan anayeropoka bila basis! Eti anasema hao anaowataja kwenye lists zake ndio waende mahakamani wakamshtaki yeye anawachafua,ndiyo atatoa ushahidi!!!!! Huu ni unafiki uliokithiri, ni staili ya kitoto sana ya kutafuta umaarufu ya huyu padiri muasi
 
Tolowski,

Unaamini kama kuna ufisadi Tanzania ama hakuna?Je,una uchungu na Taifa hili?
 
We Kiraza, mbona hujiulizi hiyo JAMHURI i.e mamlaka zinayohusika,Takukuru kwa nini haijafanya kinachowezekana kuchunguza na kutoa majibu juu ya watuhumiwa??. Siyo kazi yake kwenda kufungua mashtaka kwa kila mtu. Utafungulia mashtaka wangapi?? ukijidedicate kufungulia mashtaka mafisadi wa bongo wewe binafsi (km unavyotaka slaa afanye), hakyamungu maisha yako yote utamalizia kizimbani. Kifupi SERIKALI i.e mamlaka zote zinazohusika zimeshindwa kazi, ni sehemu ya huo ufisadi na zenyewe ni fisadi na zinapaswa kuondolewa na mamlaka kuu..nayo ni peoples' power. Full stop
 
Hadi wakati huu ana list 2 za mafisadi,naweza kuziita episode 2 katika series yake iliyomtoa kisiasa ya MAFISADI! Anasema ana ushahidi wa ufisadi wa kila mtu ambaye yupo kwenye hizo lists zake! Ninachomshangaa huyu padiri muasi hatoi huo ushahidi hadharani watanzania tuuone ili 2tambue jinsi gani majangili wanao2tawala wanatuibia rasilimali zetu,au kama hataki kuuonyesha si akaukabidhi kwa prosecutors ili hao jamaa wafikishwe mbele ya sheria,na hao prosecutors wakizingua atuambie wananchi 2andamane hadi kieleweke! Kwa hii staili yake ya kututajia mafisadi kila siku bila kutuonyesha ushahidi au kuupeleka ushahidi mahakamani namwona kama mwimba mipasho flan anayeropoka bila basis! Eti anasema hao anaowataja kwenye lists zake ndio waende mahakamani wakamshtaki yeye anawachafua,ndiyo atatoa ushahidi!!!!! Huu ni unafiki uliokithiri, ni staili ya kitoto sana ya kutafuta umaarufu ya huyu padiri muasi

Mbona hujaandamana dhidi ya list ya Richmond aliyotoa Mh Mwakyembe Bungeni? Au maazimio yote 18 ya bunge kuhusu Richmond?

Dr Slaa sio Padri muasi, aliomba kuacha upadri na alifuata taratibu zote za kanisa katoliki. Na hii inatoa somo moja tu, kwamba tusiwe wanafiki. Sio unakuwa msemaji wa chama hiki wakati wewe ni mwanachama wa chama kingine.
 
Jamani alikuwa anaota ameamka ndio ndoto yake kaja kuibandika hapa achaneni nae nadhani huyu sio raia wa hapa.
Ni kama wakina RA made in Iran
 
Huyo kachanganyikiwa , unajua kuna watu wana vichwa vigumu, hawa ndo wale utotoni wazazi wanakuwa na wasiwasi kujua mtoto ni tahira au ana akili timamu ! Hivi unafikiri ni kazi yake dr. kutoa vielelezo hadharani vielelezo mahakamani, mbona hawajampeleka mahakamani mpaka hapo hujapata kue;lewa bado ? pole
 
watu wanaoweka topic za UPUPU na kutuacha tukim crash kwa kutumia nguvu mingi,sizani kama zinafaida kwetu,mtu kama huyu anakula na kulala kwa pesa za kifisadi sizani kama atajua uchungu wa ufisadi. Tuwe tunawapotezea tena jambo zuri UPUPU'S MEMBERZ wote wanajulikana,tuwe na mgomo baridi juu ya watu wanaojua nchi ipo matatizon lakin wao wamezibwa macho na midomo yao kwa kitambaa cha sufu la UFISADI,kwaiyo wao hawajui tunateseka vp.tuungane tuwe na cold strike kwa upupu's members wote.wawe wanaongea wenyewe.
 
Juzi huyu Tolowski aliwaita vijana wanaodhuria maandamo ya CDM 'wavuta bangi' sasa leo anataka kuandamana, does that mean kwamba na wewe (Tolowski) ni mvuta bangi?
 
Hadi wakati huu ana list 2 za mafisadi,naweza kuziita episode 2 katika series yake iliyomtoa kisiasa ya MAFISADI! Anasema ana ushahidi wa ufisadi wa kila mtu ambaye yupo kwenye hizo lists zake! Ninachomshangaa huyu padiri muasi hatoi huo ushahidi hadharani watanzania tuuone ili 2tambue jinsi gani majangili wanao2tawala wanatuibia rasilimali zetu,au kama hataki kuuonyesha si akaukabidhi kwa prosecutors ili hao jamaa wafikishwe mbele ya sheria,na hao prosecutors wakizingua atuambie wananchi 2andamane hadi kieleweke! Kwa hii staili yake ya kututajia mafisadi kila siku bila kutuonyesha ushahidi au kuupeleka ushahidi mahakamani namwona kama mwimba mipasho flan anayeropoka bila basis! Eti anasema hao anaowataja kwenye lists zake ndio waende mahakamani wakamshtaki yeye anawachafua,ndiyo atatoa ushahidi!!!!! Huu ni unafiki uliokithiri, ni staili ya kitoto sana ya kutafuta umaarufu ya huyu padiri muasi

Wewe ni akina nani wamepelekwa mahakamani toka ile list of shame iliyokuwa na vielelezo!??? Kagoda yenye ushahidi lukuki imefanyiwa nini hadi sasa. Ni SUALA LA NIA YA WATAWALA TU.
Ukweli ninakuona muasi ni wewe ambaye bado karne hii unafikiri mwizi anaweza akakubali kuchukua hatua dhidi ya wezi. Ndugu yangu kama ni unafiki ni wewe hasa kama bado unafikiri kuwa mahakama ni suluhisho la matatizo ya TZ. POOLE WEWE!!!
 
Mbona hujaandamana dhidi ya list ya Richmond aliyotoa Mh Mwakyembe Bungeni? Au maazimio yote 18 ya bunge kuhusu Richmond?

Dr Slaa sio Padri muasi, aliomba kuacha upadri na alifuata taratibu zote za kanisa katoliki. Na hii inatoa somo moja tu, kwamba tusiwe wanafiki. Sio unakuwa msemaji wa chama hiki wakati wewe ni mwanachama wa chama kingine.

Kwa kweli wengi tumechoka na hii spree ya kutuhumu kushoto kulia na katikati bila hata kutoa chochote kinachoonyesha kwamba tuhuma zake zina msingi wowote. Amegeuka kuwa whistle blower ambaye hata hatoi facts zinazowez kusaidia wanaohusika kwenda hatua moja mbele. Lakini kwa matukio yaliyojitokeza sasa hivi, ni wazi kwamba mzee huyu hana nia ya kuona hatua zinachukuliwa dhidi ya wale anaowatuhumu kwa sababu sas anachofanya ni kuwa-insulate ili umma usiwatie adabu na namna nzuri ni kuendelea kutuhumu wengine ili kuwapumbaza watanzania.

Huyu bwana kama kweli alitaka hatua zichukuliwe na anajua kwamba vyombo vya kuchukua hatua kama ofisi ya mashtaka ya jinai pamoja na polisi haviko tayari kufanya hivyo, anao uwezo wa kuanzisha private prosecution na ndicho wanasiasa makini wa upinzani wamewahi kufanya, mfano Raila Odinga alipomshitaki George Saitoti kuhusiana na scandal ya Goldenberg, na alifanya hivyo baada DPP kukataa kumshitaki Saitoti. Kuwaambia anaowatuhumu waende mahakamani kumshitaki kama wanadhani ni uongo hakusaidii watanzania kujua ukweli na wala isitafsiriwe kwamba kutomshitaki kwa kashfa maana yake ni kwamba waliotuhumiwa wanahusika, isipokuwa wengine hawataki kupoteza muda na rasilimali zao kukimbizana mahakamani. Huyu bwana anatuzingua tu!
 
Karibu matatizo yote uliyoyataja na mengine mengi tuu chanzo ni hao mapacha watatu. Mfano unapozungumzia umeme si unanikumbusha Dowans? Sasa tunashughulika na mizizi sio matawi. Upoo?

Humu jf sijui kuna watu wako kwenye payroll ya mapacha watatu???

Mbona unakuwa kama huna uhakika? Wako kibao humu na ndiyo maan ukiwagusa tu hao mapacha unamwagiwa matusi. Lakini sisi tutakufa nao tu na Mungu atawatokomeza tu!
 
Si kweli!chanzo cha matatizo ye2 siyo mapacha 3! Tatizo ni watu,sisi kama jamii 2po corrupt! Tanzania hamna anayeweza kumnyoshea mwenzake kidole! We are all corrupt! Inabidi 2jiangalie kama jamii

Kwa hiyo wasamehewe!!? umekula kwao wewe usituzingue hapa.
 
Kwa hiyo wasamehewe!!? umekula kwao wewe usituzingue hapa.

This is sheer nonesense. Yaani sisi tunajadili watu ambao dunia nzima inawajua kwamba ndiyo maadui wa watanzania wewe unaleta philosophy zako zisizo na maana. Kama wewe ni fisadi tafadhali kula salama siyo ulete stereo types zako!
 
Back
Top Bottom