Nimechoka!!!KILA SIKU RA,EL,AC! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimechoka!!!KILA SIKU RA,EL,AC!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Tolowski, May 6, 2011.

 1. T

  Tolowski Senior Member

  #1
  May 6, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 122
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nashangaa kila nikiingia humu mazungumzo ni kuhusu hao watu 3!!me naona tunawapa ccm ahueni sana,wanafanya madudu bali hawana wasiwasi kwani wanajua hatutahoji ,tupo bize na mapacha 3!!

  Hao wakiangamizwa basi watawatengeneza wengine ili watanzania wawe bize kuangaika na habari za hao watu! ni kama wanatuwekea decoy fulani!!

  NATAMANI MAANDAMANO NA MAZUNGUMZO YETU YANGEKUWA NI KUIBANA SERIKALI KATIKA YAFUATAYO;

  MISHAHARA MIDOGO YA WAFANYAKAZI NA MANYANYASWO KAZINI,WATENDAJI WA SERIKALI KUWA WAZEMBE KUPITILIZA.

  BEI YA UMEME ILIYO JUU MNO, KUINGIZA UMEME NI GHARAMA MNO, BARAZA KUBWA LA MAWAZIRI, WABUNGE ZAIDI YA 100 WA VITI MAALUM WA NINI?

  WANANCHI KUKOSA MAJI SAFI KWA UHAKIKA,MISAMAHA YA KODI KWA WAGENI ISIYO NA TIJA. KUSHUKA KWA KIWANGO CHA ELIMU KATIKA TAASISI ZA ELIMU YA JUU, WATU WANADESA TU NOWADAYS.

  UBINAFSI WA VIONGOZI NA WANANCHI, KUCOPY NA KUPASTE KILA KITU KUTOKA NJE, MAADILI MABOVU KATIKA JAMII.

  HIVI FOLENI YA DAR ZITAISHA LINI? UCHAFU WA MAZINGIRA ULIOKITHIRI KATIKA MAJIJI YETU.

  HIVI NI LINI SERIKALI ITAHAMIA DODOMA?,CDA WANAFANYA KAZI GANI?,TUNATAKA TUME HURU YA UCHAGUZI,KWA NINI WABUNGU WAWE MAWAZIRI?

  MBONA TUNANYIMWA UWAKILISHI!JAMANI MATATIZO NI MENGI KATIKA NCHI HII. WAWEZA KUNISAIDIA KUYAONGEZA KATIKA LIST.

  SASA KWA NINI KILA SIKU NI HABARI ZA HAO WATU WATATU!WANAHARAKATI WAUKWELI TUPIGANIE NCHI YETU.

  Hao w3 hawa deserve hata kutajwa kwenye ndimi zetu, wamefulia, jamii imesha wakataa na hiyo ndo muhimu. Nasi wanaforum 2wapotozeee.
   
 2. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #2
  May 6, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Kavue gamba kwanza.


  Tolowski
  Join Date : 28th April 2011
  Posts : 5

  Thanks
  0
  Thanked 1 Time in 1 Post
  Rep Power : 0
   
 3. fikramakini

  fikramakini JF-Expert Member

  #3
  May 6, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 247
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Karibu matatizo yote uliyoyataja na mengine mengi tuu chanzo ni hao mapacha watatu. Mfano unapozungumzia umeme si unanikumbusha Dowans? Sasa tunashughulika na mizizi sio matawi. Upoo?

  Humu jf sijui kuna watu wako kwenye payroll ya mapacha watatu???
   
 4. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #4
  May 6, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,132
  Trophy Points: 280
  tope linasafishwaje?
   
 5. T

  Tolowski Senior Member

  #5
  May 6, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 122
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Si kweli!chanzo cha matatizo ye2 siyo mapacha 3! Tatizo ni watu,sisi kama jamii 2po corrupt! Tanzania hamna anayeweza kumnyoshea mwenzake kidole! We are all corrupt! Inabidi 2jiangalie kama jamii
   
 6. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #6
  May 6, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  The following user groaned Tolowski for this useless thread
  genekai (today)
   
 7. T

  Tolowski Senior Member

  #7
  May 11, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 122
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna jamaa kaniacha hoi sana humu ndani! Eti anasema dr.slaa anarekodi wimbo wa taarabu atauita MAFISADI,kamshirikisha mzee yusuf kwenye chorus,back up wapo akina mbowe,mnyika,lema,lisu,mdee! Nyimbo ina verse kumi,kila verse ni list 1 ya mafisadi! Jumla sasa ana list kumi!!!! Huyu jamaa kiboka aiseee
   
 8. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #8
  May 11, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  kiboka sana aisee!
   
 9. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #9
  May 11, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Ahahahahah duu!!
   
 10. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #10
  May 11, 2011
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 5,960
  Likes Received: 20,297
  Trophy Points: 280
  Hujajitaja ww uliyeandika mashairi
   
 11. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #11
  May 11, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,921
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Lazima magamba yacheze kiduku mwaka huu....we subiria single liende hewani kwanza!!
   
 12. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #12
  May 12, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  inanikumbusha ile methali ya "mmasai/jaluo kuimba taarab"
   
 13. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #13
  May 12, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Taipata wapi hiyo nyimbo?
   
 14. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #14
  May 12, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,269
  Likes Received: 22,029
  Trophy Points: 280
  Kiboka au KABOKA MCHIZI?
   
 15. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #15
  May 12, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  humu jamii kuna mambo sana!
   
 16. T

  Tolowski Senior Member

  #16
  May 12, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 122
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Itakuwa inaimbwa na kusambazwa kwenye mikutano na maandamano
   
 17. A

  Aine JF-Expert Member

  #17
  May 12, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,613
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Jamani hiyo avetor yako?can u change please?
   
 18. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #18
  May 12, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Avatar zingine bana kiboko
   
 19. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #19
  May 12, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Ikitoka hiyo CD nijulisheni.
   
 20. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #20
  May 12, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  nenda kwenye lile jengo la vijana la KIFISADI UTAIKUTA!
   
Loading...