Nimechoka Habari ya ITV

Nimechoka Habari ya ITV

ni kweli taarifa yao ya habari imepooza sio kama zamani. mambo ya kubanwa kwa uhuru wa habari hayo, kuna siku Sizonje alisema kuna kituo cha tv wao kila siku wanatangaza migogoro ya wakulima na wafugaji, hii kauli ikazidi kuwaogopesha.
Angalia Star ama soma gazeti la kubenea hapo mambo yote unapata ngoma draw.
 
  • Thanks
Reactions: UCD
Social Media Zimejaa, Kama una akili ya kuchuja, hizo taarifa za Habari zao utawaachia wapenda kusifiwa tu.
 
Mengi anajistukia sana kwa namna alivyokuwa wakati wa Jk japo Jk aliamua kumpuuzia!


Awamu ya Nne ITV ilikuwa Kama TV rasmi ya Chadema kwa hiyo anajaribu kufukia Mashimo ya 2005-2015 kwa kujipendekeza kupita kiasi

Wakati wa Jk ilikuwa kawaida sana kwa Huyu Mzee kuitisha Press conference kumpiga Vijembe Jakaya!

Aliwahi kuita Vyombo vya Habari na kudai kapata Taarifa za Uhakika kuwa Ikulu imepanga kumuua Japo Jion hiyo baada ya Conference anaonekana Ikulu kwny Dhifa ya Kitaifa akigonga Cheers na Jk!

Salva Rweyemamu alipoulizwa akajibu kwa kifupi Mtu anaehisi anataka kuuawa anaweza kuitikia Mwaliko wa Wauaji na akashiriki Mpaka kwny Msosi?

Siku hizi kaaufyata TV yake imekuwa Kama Radio Uhuru kumsifu Rais na Serikal yake!
muongo ww
 
Mi mwenyewe shabiki wa kugalagala wa itv lakini habari zao saivi hapana jamani ! Yaani bora kucheki top 30 tv e au kuangalia series tu.

Mfano habari ya Lowasa yaani wameielezea juu juu kama wananchi wote wanafahamu vile. Channel 10 wameonesha vizuri habari hii ya Lowasa
 
tatizo vyombo vya habari vya tanzania wanaigana kila kitu hawako tofauti, ukianzia Channel 10, clouds,tbc,star tv,itv,azam wote habari zao sawa..
Kwanini wasiige kwa wenzao kina cnn, fox, nbc,msn
 
tatizo vyombo vya habari vya tanzania wanaigana kila kitu hawako tofauti, ukianzia Channel 10, clouds,tbc,star tv,itv,azam wote habari zao sawa..
Kwanini wasiige kwa wenzao kina cnn, fox, nbc,msn

Watazamaji wa Hizi Channels zetu hawafanani na Watazamaji wa CNN,fox n.k
Ukiuliza kipindi Maarufu zaid cha TV Bongo kwa sasa ni Shilawadu kwa Clouds na Mizengwe kwa ITV na Futuhi kwa Star TV unategemea nn?
 
ITV mnakera aisee....kila siku habari JPM au Shein...aisee nimechoka....ntaanza kujisomea habari JF saa mbili nahamia TV-E kuchek Top 30 !![emoji57][emoji57]


nipo nyuma yako mie leo sijacheki kbs! zaid ya kusikia twins wamefariki maskin ndo kukimbilia! coz na mm twin
 
Back
Top Bottom