Nimechezea za mbavu leo

Dah
sa mbona kaelekea kibra,huyo analika sema wewe unapanick sana we tulia tuu vunga kama wiko hv piga kimya,acha shobo kumtxt txt kila saa ni dalili ya uoga
 
Ameshakwambia yeye mdogo bado unamng'ang'ania,
Miaka 30 jela shauri yako
 
Unajieleza sana maombolezo kibao wanawake wanataka mtu anatumia udikteta kidogoo sasa wewe umekariri mameno sijui kutoka wapi unajielezaaaa
 
Kwanza unakosea sana mimi nikichukua namba kwa demu naweza kukaa hata week sijamtafuta na mara nyingi anakuwa hachomowi halafu punguza shobo na demu mara ya kwanza siku ya unaweza mtumia usiku mwema na shughuli inaanzia hapo akiuliza ww nani unaanza story hapo sasa sio umepewa namba asubuh mchana tayari ushaanza usumbufu text kibao usiku tena text punguza shobo na hao viumbe.

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli tupuu
 

Hakutaki simple and clear
Kwenye maisha huwez kukubalika na kila mtu
 
Lecture kazi unayo, vijana wa siku hizi wanazidi kuwa wazembe shenzi zao.
 
Makosa ya kutokupitia JANDO ndio haya,hebu nisaidie namba ya Sara nikufundishe kutongoza kijana,njoo PM
 
Nakazia hapa
 
Kwa akili hizi ni sawa ulivyokataliwa.
Hivi bado kunawatu wanatongoza kumbe?
Evelyn Salt hebu shauri wavulana hawa
 
Kifupi wewe ni mpumbavu, ningekuwa moderator ningekupiga ban la milele
 
Lecture kazi unayo, vijana wa siku hizi wanazidi kuwa wazembe shenzi zao.
huyu alifaa hata Viboko.

Na mbaya zaidi, hajakulia kile kipindi chetu Cha kutokua na simu.

Demu anasoma shule ya Mkoa mwingine,

Unaandika Barua yenye Kurasa sita.

Hawa madogo wangeweza kweli??

Si Barua nzima ,ingejaa maswali utadhani unafanya post internship examination?.



WANAWAKE HAWAPENDI MASWALI, NI NATURAL DEEPEST NEEDS YA WAO KUTOTAKA MASWALI. IN FACT WANADAM TUMEUMBWA, KUTOKUTAKA MASWALI .
 
Kabisa chief.
 

Yani yeye ni punda umemuona mchana, jioni yake umtongoze akubali?
 
Be a gent,, huo ni udhaifu umeuonyesha,, then approach nzuri ni ile ya kumake appointment, kutana nae mazingira tulivu then funguka kama mwanaume otherwise huna confindence ndo utaendelea kulia lia kwenye simu hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…