Nimecheka sanaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Nimecheka sanaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Wambuzi

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2011
Posts
558
Reaction score
335
Stolen Somwea
Una miaka zaidi ya 30 hujui gharama ya kitu chochote zaidi ya BBM PARTY, BEACH PARTY na sijui nini BASH, Hujui bei ya mchele wala unga, wewe unajua bei ya
BUNDLE, SUPRA, WIGI na CHIPS YAI,
Wenzako wanawaza HELA na KAZI, wewe unawaza pakuche ukaazime NGUO, CD kisha ujiunge na XTREME PACK, Kubwa zima unajisifia eti una PLAYSTATION sijui
ngap? Si UJINGA huo.... ,
Unamkuta mtu anajua historia ya LIL WYNE kuliko hata ya BABU yake aliyopo
huko KANTARAMBA, Hebu amka huko
UKUBWA sio kuvaa nguo za BORN 2 SHINE!

*SUKARI*
 
inaonekana kijana ni mtaaalam sana wa hivyo viroba.... na domo lako lazima liwe jekundu
 
jamaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii tchaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
haya bwananaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa:heh:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom