masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,581
- 20,216
ila nimeuzunika aisee
masai dada kacheka mwenzioMimi siskioni cha kucheka hapo
Mimi siskioni cha kucheka hapo
Huyu jamaa sio yule wa kwenye movie ya Hangover?
Mimi siskioni cha kucheka hapo
Yan kweli hata karaha huwa na furaha mana nimefungua nicheke nikakereka nikaishia kucheka tu
Labda huyo jamaa kanusa kinyisi ndio kilicho mchekesha
Basi mi ntakua nimezeeka. Sijaona cha kucheka wala kuhuzunika. Pia nisingeanzisha thredi ningekuta sehemu.
vipi hali ya mvua leo?hahahaahha
guudnyt mkuu
Labda huyo jamaa kanusa kinyisi ndio kilicho mchekesha
vipi hali ya mvua leo?
Mleta mada ungeandika kiswahili maana ya hayo mameno. lugha ya mkoloni tatizo kwa jf members