Marudio jukwaani pale JFHIVI NDIVYO MMOJA KATI YA WANAFUNZI WA FORM FOUR
2012 ALIVYOJIBU MTIHANI WAKE WA KISWAHILI.
SWALI: Eleza hatua za kuandaa MDAHALO.
Akiwa hajui maana ya mdahalo alijibu hivi...
Kwanza unauchukua mdahalo wako unauosha vizuri.
Pili hakikisha mdahalo wako haujakomaa.
Tatu Bandika sufuria yako jikoni.
Nne Weka mdahalo wako kisha uache uchemke kwa
dakika kumi na tano.
Tano mdahalo wako ukiwa tayari uepue.
Sita Mdahalo huu unaweza kuula na kinywaji chochote.
jamani hilo si la kucheka,tujiulize elimu yetu inaelekea wapi?tutakuja kuwa na taifa gani siku zijazo?tutampata wazuri ,raisi,au hata mwalim kwa staili hiyo?
Mwaya mie nimecheka, na ndiyo kwanza naiona.
Naona hujielewi..........