wewee acha mambo yako ya kale hapa...kabila nini bwana?? kabila ndio linalala kitandani?? au kuna makabila watu wao nanihii zao zimesogea kushoto??
pole sana piga moyo konde songa mbele,kuna wanaume waongo sana,kuna mmoja mkewe alikwenda masomoni nje ya nchi,jamaa huku akawa anatongonza na kuwadanganya mademu hajaoa,yaani alikuwa anawapeleka hadi kwake anaficha vitu vya mkewe,mademu wakumuona jamaa ana nyumba basi ndo wanaona wameukata,kumbe jamaa lina mke.pole sana aisee ila time heals
Alikuwa anaendelea kukifungua kipochi manyoya, hahaha wanaume utawaweza, hapo ukute mdada alimkuta mkaka msahambaaa akambadilisha kawa binadam ndo mwenzake anachukua kiulaniiiii, wakati anakula tundi hakujua kwamba kabila ni muhimu?? mbona tundi lilikuwa linamnogeaMe nafikiri hadi sasa unajua mzazi wako anapenda uoe msichana wa aina gani! Lakini kwa case ya huyu mdada inaonekana jamaa alijua msimamo wa mama yake lakini aliamua kumpotezea muda huyo mdada!
wewee acha mambo yako ya kale hapa...kabila nini bwana?? kabila ndio linalala kitandani?? au kuna makabila watu wao nanihii zao zimesogea kushoto??
Habari wana MMU? Nilikuwa na mpenzi wangu ambaye tulikuwa tunapendana sana na tulipanga Mungu akijaalia tufunge ndoa mwaka huu mwishoni. Sasa leo ameniandikia meseji akiniambia Mama yake amemwambia hawezi kunioa mimi kwa sababu sio wa kabila lake, na yeye kasema hawezi kuacha kumtii mama yake.
Ameniomba tuachane na hivi sasa mama yake amemuunganishia kwa msichana mwingine ambaye ni kabila lao. Hapa nawaza na kuwazua hivi naanza mahusiano na nani? Wanaume wote sio kanisani, ofisini walikuwa wanafahamu mahusiano yetu na waliyaheshimu. Leo hii naanzaje kusema niko single? Ndoto ya kuolewa naona imepaa.
Naombeni ushauri wenu wana MMU, haya mambo yamenichanganya sana.
pamoja na hayo jitahidi kusali sana, itakusaidia sana bila hivyo wiki mbili nyingi utabaki na kilo za kiroba cha unga...
Alikuwa anaendelea kukifungua kipochi manyoya, hahaha wanaume utawaweza, hapo ukute mdada alimkuta mkaka msahambaaa akambadilisha kawa binadam ndo mwenzake anachukua kiulaniiiii, wakati anakula tundi hakujua kwamba kabila ni muhimu?? mbona tundi lilikuwa linamnogea
Lakini naamini mwenendo, tabia na matendo yake yatakupa picha huyu mtu ana kupenda au lah!
Daaah! Naona una hukumu wanaume wote aisee! Huyu jamaa hukumpenda mdada basi tuu!
Alaf nafikiri hili swala hawa wote wawili hawa kukaaa na kulizungumza kwa mapana na hapa inaonekana mdada alimuamini sana jamaa kumbe nae alikuwa ana cheza tuu!
Mambo ya binadamu hayo!
wee usilete ubishi ambao hauna akili....kama wewe kabila sio oshu wapo ambao kabila ni ishu mie nikiwa mmoja wao
Asee ni ngumu sana, Yalimtokea mdada mmoja walikuwa na mkaka so deep hadi anakuja kushituka mkaka anaoa kesho tena baada ya washkaji kumhurumia demu kwa kuona alichokuwa anafanya jamaa, sijui alikuwa anawapangaje lakini kamwe hyu mdada ambae ni ndugu yangu hakuona tofauti. Kuja kuona jamaa kweli anaoa hakuamini pale church Aliliaje, utadhani amefiwa na mama mzazi. JAMANI MAPENZI YANAUMA MAUMIVU AMBAYO HAYATIBIKI KWA DAWA WALA KWA POMBE......usiombe utendwe jaman.
Umenichekesha na hizo kilo za kiroba cha unga. Asante, nitaufanyia kazi ushauri wako.
Daaah! Naona una hukumu wanaume wote aisee! Huyu jamaa hukumpenda mdada basi tuu!
Alaf nafikiri hili swala hawa wote wawili hawa kukaaa na kulizungumza kwa mapana na hapa inaonekana mdada alimuamini sana jamaa kumbe nae alikuwa ana cheza tuu!
Mambo ya binadamu hayo!
Pole sana unajua kwa nini mnakuwa umuoni? Kwasababu mnazama kwenye mapenzi mwili mzima na mnasahau macho yanatakiwa yapewe nafasi ya kutazama! Na wengi wanajifunza baada ya kutendwa!
Tukumbuke hakuna malaika!
Ila me nawasifu wanawake kila leo mnajua kupenda kweli!
sasa kama ni hivyo na wale mnaogegeda juu kwa juu muwe natafuta wa makabila yenu...muone kama hazitaota kutu..
nami niko single sijali kabila tuwacliane
kugegeda sio kuoa wewe....kugegeda sii namkojolea na wala sina ahida nae baada ya kumchafua sasa hapo kabila lina umuhimu gani?
mambo yale mnayoyaogopa yalishaisha siku nyingi bwana, inabidi mbadilike acheni kuishi maisha ya enzi za UJIMA...khaa!
Ni kweli, hatukuwahi kulizungumza kwa mapana maana yeye mwanaume alionyesha kwake halikuwa ni tatizo kabisa. Leo baada ya kupata hiyo meseji kazi ofisini hazikufanyika kabisa. Sikuwahi kupata maumivu makali kama niliyoyapata leo.
Pole sana msimamo wa mama yake aliujua ndio maana hakukupa nafasi mfanye mjadala maana unge kimbia mapema.