Nimechanganyikiwa.

Pole sana na wewe! Unajua huyu jamaa katumia hiyo njia kumkimbiza tu kwani mahusiano yao haya kuanza leo, kwanini hakumwambia toka mwanzo?

Wanaume mna ufundi basi?? sijui mbwebwe kwa mbeleko gani, ndo maana nikimpata wa kumshika masikio namchuna kwa maji ya moto hadi akija jishtukia anajidharau mwenyewe
 
Aliwahi kunidokezea mwanzo kabisa wa uhusiano ila haikuwa serious, alisema Mama yake anatamani watoto wake waoe na kuolewa na kabila lao.
Ila siku zilipokuwa zinasogea hakuonyesha kama kuna tatizo na alisema yeye ndio muoaji hawezi pangiwa kabila la kuoa. Nilimwamini sana maana nilimpenda. Huyo mama yake nilishaonana nae mara mbili hivi, hakunionyesha kama hajanikubali.
 
You will be fine. Nothing heals a broken heart like time, love and tenderness.
Look on the brighter side sweetie. He did not stand you up at the altar, hajakuacha na uja uzito, etc. Pole.

Thanks dear.
 
Kwani kuoa mtu anaoa kabila au mtu? Mama na mwanaye wote ziro tu hapa. Ila usiwaze sana maana kama papuchi bado unayo hutakosa mtu may be jamaa kama kang'oa na kuondoka nayo hapo itakuwa ni issue nyingine.
 
Kweli unafikiri kudate wazee ndio itakuwa suluhu? Hao wazee ujana wamekula na nani? Anaweza akajikuta ana vamia mume wa mtu!

Ni kweli alicho fanyiwa hakistahili kabisa lakini suluhu yake haiwezi kuwa ni kudate wazee, me naamimi wake yupo na nikijana tuu sema muda muafaka bado tuu!

pole we mamito, wanaume ndivyo walivyo hana lolote huyo alikua anataka kipochi manyoya chako basi any way ushauri wa bure achana na vijajana date na wazee shost hutalia labda ukute ambae hajielewi lakini vijana wengi wao ni pasua kichwa tu
 
Kwani kuoa mtu anaoa kabila au mtu? Mama na mwanaye wote ziro tu hapa. Ila usiwaze sana maana kama papuchi bado unayo hutakosa mtu may be jamaa kama kang'oa na kuondoka nayo hapo itakuwa ni issue nyingine.

Asante kwa kunipa moyo.
 
kabila muhimu maana kuna mambo mnaweza msiendane kutokana na malezi ya hayo makabila
 
Pole sana kuna mengi alikuficha na aliujua msimamo wa mama yake kabla sema alikuwa anashindwa kukwambia muda hule kuwa hamtoweza kuoana!

Worry out!

pole we mamito, wanaume ndivyo walivyo hana lolote huyo alikua anataka kipochi manyoya chako basi any way ushauri wa bure achana na vijajana date na wazee shost hutalia labda ukute ambae hajielewi lakini vijana wengi wao ni pasua kichwa tu

Asante dear, sasa hao wazee si wana wake zao au? Kama suala la umri wala si mtoto, ana miaka 35. Ni kaka anayejitambua kabisa.
 
Haya mambo yalikuwa zamani sana lakini siku hizi hayana nafasi sana japo kuna watu bado yapo kwenye vichwa vyao!

kabila muhimu maana kuna mambo mnaweza msiendane kutokana na malezi ya hayo makabila
 
Pole sana kuna mengi alikuficha na aliujua msimamo wa mama yake kabla sema alikuwa anashindwa kukwambia muda hule kuwa hamtoweza kuoana!

Worry out!

Nami ndio nimefikiria yote hayo baada ya kunikuta haya. Ni kweli alijua msimamo wa mama yake.
 
mpendwa lililokukuta sio jambo geni, wengi wetu tumeacha na kuachwa kwa sababu tofauti tofauti, na kila mtu anajua utamu wa maumivu unayopitia sasa hivi,la msingi na laana kwako KAZA ROHO, songa mbele utakutana na vidume vya maana mbeleni huko hata huyo uliyekuwa naye utaona alikupotezea muda...ni maumivu ya muda ila yatapoa..(pita pita jf soma comment utafurahi na utasahau matatizo yako)
 
Haya mambo yalikuwa zamani sana lakini siku hizi hayana nafasi sana japo kuna watu bado yapo kwenye vichwa vyao!

tatizo vijana mnasahau kiwa ukitaka kuoa lazima utaenda kwa wazazi na wazazi wengi bado mambo ya kabila yapo kichwani....so bora ulijue hilo mapema mwanawane...usijebugi bure
 
Nashukuru sana mpendwa kwa ushauri wako.
 
Aiseee mbona hapo unakuwa unawaonea wengine sasa kwa makosa ya mtu mmoja?
Hebu jifunze kusamehe alaf amini kuna mtu anaweza kukupenda kweli na asikuumize!
Wanaume mna ufundi basi?? sijui mbwebwe kwa mbeleko gani, ndo maana nikimpata wa kumshika masikio namchuna kwa maji ya moto hadi akija jishtukia anajidharau mwenyewe
 
kabila muhimu maana kuna mambo mnaweza msiendane kutokana na malezi ya hayo makabila

wewee acha mambo yako ya kale hapa...kabila nini bwana?? kabila ndio linalala kitandani?? au kuna makabila watu wao nanihii zao zimesogea kushoto??
 
Aiseee mbona hapo unakuwa unawaonea wengine sasa kwa makosa ya mtu mmoja?
Hebu jifunze kusamehe alaf amini kuna mtu anaweza kukupenda kweli na asikuumize!

Hakuna tofauti kati ya mkweli na muongo wakati unapotongozwa, kwa macho ya kibinadamu ni ngumu kuwatofautisha........
 
Me nafikiri hadi sasa unajua mzazi wako anapenda uoe msichana wa aina gani! Lakini kwa case ya huyu mdada inaonekana jamaa alijua msimamo wa mama yake lakini aliamua kumpotezea muda huyo mdada!

tatizo vijana mnasahau kiwa ukitaka kuoa lazima utaenda kwa wazazi na wazazi wengi bado mambo ya kabila yapo kichwani....so bora ulijue hilo mapema mwanawane...usijebugi bure
 
pole sana piga moyo konde songa mbele,kuna wanaume waongo sana,kuna mmoja mkewe alikwenda masomoni nje ya nchi,jamaa huku akawa anatongonza na kuwadanganya mademu hajaoa,yaani alikuwa anawapeleka hadi kwake anaficha vitu vya mkewe,mademu wakumuona jamaa ana nyumba basi ndo wanaona wameukata,kumbe jamaa lina mke.pole sana aisee ila time heals
 
Lakini naamini mwenendo, tabia na matendo yake yatakupa picha huyu mtu ana kupenda au lah!

Hakuna tofauti kati ya mkweli na muongo wakati unapotongozwa, kwa macho ya kibinadamu ni ngumu kuwatofautisha........
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…