Pole sana. Ndo maisha hayo.
achana nae utapata mwingine...though inauma!
huyo kachoka kukugegeda bwana...kwani mwazoni alikuwa hajui kuwa mama hapendi kabila lako....wanaume wabaya acha tuu
kubali kuwa umetumika move on na utapata mume kamili ila usikae ukafanya kosa la kutoa papuchi kabla ya kuuliza mambo ya dini na kabila na mtazamo wa huyo mwanaume

Habari wana MMU? Nilikuwa na
mpenzi wangu ambaye tulikuwa tunapendana sana na tulipanga Mungu
akijaalia tufunge ndoa mwaka huu mwishoni. Sasa leo ameniandikia meseji
akiniambia Mama yake amemwambia hawezi kunioa mimi kwa sababu sio wa
kabila lake, na yeye kasema hawezi kuacha kumtii mama yake.
Ameniomba tuachane na hivi sasa mama yake amemuunganishia kwa msichana
mwingine ambaye ni kabila lao. Hapa nawaza na kuwazua hivi naanza
mahusiano na nani? Wanaume wote sio kanisani, ofisini walikuwa
wanafahamu mahusiano yetu na waliyaheshimu. Leo hii naanzaje kusema niko
single? Ndoto ya kuolewa naona imepaa.
Naombeni ushauri wenu wana MMU, haya mambo yamenichanganya sana.
Duuuh dunia ina maajabu yake yani hadi leo wazazi wanawatafutia wana wake wa kuoa! Pole sana binti, dunia ina watu wengi wala usivunjike moyo hayo ni mapito wala hakuwa wako, muda utafika utapa wa kukuoa wala usiangalie watu watasema nini unatakiwa ujali furaha yako!
Pole sana!
Kweli kabisa, mpaka anakula na kupakua hakujua kuwa mama hataki kabila la mdada?huyo mkaka ni mngese sana
Be strong go back to college .success is the best revange utamsahau vibaya halafu ukijakuangalia nyuma utajiuliza hivi nililala na hili jitu
huyo kachoka kukugegeda bwana...kwani mwazoni alikuwa hajui kuwa mama hapendi kabila lako....wanaume wabaya acha tuu
kubali kuwa umetumika move on na utapata mume kamili ila usikae ukafanya kosa la kutoa papuchi kabla ya kuuliza mambo ya dini na kabila na mtazamo wa huyo mwanaume
Dunia ndio ilivyo, lilishanikuta hili, kweli inauma lakini utafanyaje???waweza jihisi una gundu vile lakini usiwaze hivyo! piga moyo konde songa mbele, Mungu atakuletea wa kwako ambae ni wa ukweli. Hilo gume gume nalo mpaka linakutongoza lilikuwa halijui mama yake hataki makabila mengine??
Asante sana. Hata mimi sikuwahi kuamini kama tofauti ya kabila ni kitu ambacho kinaweza achanisha wawili waliopendana. Kila nikitafakari natamani ingekuwa ndoto lakini ndio ukweli wenyewe.