Nimechanganyikiwa wana mmu


ni kweli kwani hawa watoto siku zote wamekuwa faraja yangu ndio maana nashindwa kutengana nao daima huwa wanajua hta siku nikiwa sina furaha wanajaribu kunifurahisha kwa maneno yao ya kitoto nami nafarijika.asante
 
Tumia sheria sasa wale watu wa haki za binadamu especially mambo ya wanawake hiyo ndoa ishakua ngumu kwahiyo tetea furaha yako kwa wanao

Ni sawa ila je nitamsimamisha nani kumshitaki wakati yeye atakuwa hayupo kwani nimekuja kujua too late kwangu kuwa anaenda n'gambo yani mpk sasa amebakiza kama siku tatu kuondoka
 
Asante kwa ushauri wenu nitafanyia kazi moja baada ya lingine,kiniumizacho mimi ni watoto wangu kukosa mapenzi na upendo wa baba yao ili hali nami bado nampenda, SABABU ya yote ni imani potofu aloingizwa na rafiki pamoja na mzazi wake.
 
mhhh kuna jambo nyuma ya pazia sio buree hapa.
haiwezekani maamuzi magum kama hayo mumeo ayachukue bila kuwa na kisababishi .

kuna jambo unalificha hapa ambalo ndio msingi na ndio chanzo cha matatizo haya yoote

chanzo ni imani potofu na inamaliza sana hasa yule ambaye imani yake ni ndogo kwa muumba wake na mume wangu alikuwa mmoja wao kwani kanisa kwake ilikuwa mpk nimlazimishe sasa shetani kumteka ilikuwa rahis sana.
 

azingatie ushauri wako huu asonge mbele kuhakikisha watoto wanapata basic needs kama awali chakarika usilie usilie dvedastuss kumbuka watoto wanakutazama wewe okoa jahazi lisizame ingawa nahodha kawaacha wenyewe usimlaumu maji yameshamwagika na kuanza upya si ujinga bidada dvedastussBACK TO YOU
lara 1 jirani akishindwa vita haimaanishi na wewe uvunje jeshi unasonga mbele kivyako mbinu za kumkabili adui hazifanani
 
Last edited by a moderator:
A person can love you and still cheat, The same way we love God and still Sin.
 
pole sana . sisi wanawake tunapitia challenges nyingi tu
 
Ni sawa ila je nitamsimamisha nani kumshitaki wakati yeye atakuwa hayupo kwani nimekuja kujua too late kwangu kuwa anaenda n'gambo yani mpk sasa amebakiza kama siku tatu kuondoka

asipotokea mahakamani zaidi ya mara nne mahakama hutoa hukumu ya upande mmoja
 
Ndio ni mume wa ndoa tena ya kanisa ni RC

Jaribu kulipeleka shauri kanisani naamini utapata msaada,kama kweli ulichoandika ndicho kilichotokea haki yako na ya watoto wenu utaipata tu.
 
mhhh kuna jambo nyuma ya pazia sio buree hapa.
haiwezekani maamuzi magum kama hayo mumeo ayachukue bila kuwa na kisababishi .

kuna jambo unalificha hapa ambalo ndio msingi na ndio chanzo cha matatizo haya yoote
Umenena mkuu, hii post yake haiko wazi sana.
 

Wewe kweli Pungu! Mwenzio hajui kiingereza tena kaandika kwa kiswahili ili ashauriwe wewe umemwelewa kisha unajifanya unaandika kiingereza.Lugha ni mawasiliano ya kumwelimisha mtu apate kuelewa au mpate kuelewana na sio kuongea tu kama mlevi wa gongo.
 

Teheeee lara1 eti free pumb... hahahaaa mie kama hizo ni free asizilete tena mie kimpango wangu nae asepe tu mazima
 
Last edited by a moderator:
What makes me special kiliko jirani? Mchezo wa pata potea hu!
 
Ni sawa ila je nitamsimamisha nani kumshitaki wakati yeye atakuwa hayupo kwani nimekuja kujua too late kwangu kuwa anaenda n'gambo yani mpk sasa amebakiza kama siku tatu kuondoka

Kuna ushauri sista hapo katuma ni mzuri na mm naongezea kwamba kwakua watoto ni wadogo una advantage sana kwani hata mahakama ikitoa haki kuna uwezekano wa kushinda pia nenda kwa hao wa sheria watakupa ushauri mzuri wa jinsi ya kuliendea swala hilo.usijipe majibu ambayo huna uhakika go to them watakupa best option hakuna alieyejuu ya sheria mama
 
Lazima kuna jambo huyu mama amelificha! Mnazaa watoto 3 halafu mnaachana kimya kimya! Inawezekana huyo baba amewapima watoto DNA akagundua siyo wa kwake! Wanawake siku hizi pasuakichwa!
 
Mkuu tena huyo jamaa atakuwa Ishomile-MHAYA. Mtu kaandika kiswahili halafu anamjibu kwa kingereza. Huo ni ushamba bora angekaa kimya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…