Kwa kawaida huwezi nikuta JF weekend ila hii balaaa sina mkwanja AKA fuba nimekuwa mdooooogo nimechalalaaaa mbaya kudadadadeki nimetia adabu nimeangalia movie zishaisha......
...mbaya zaidi mashori kibao hawapokei simu mmoja kasema nimfuate nimpeleke dar zoo aisee nimemwambia naumwa!!!!!!![/QUOTE]
ha ha haaa haaa ha, jamani JF tamu.