MSAADA KUHUSU VYUO

PARTY B

Member
Oct 16, 2017
28
11
Jamani niliaply second round MUCE,DUCE ,UD ,UDOM na private saut na rucu iringa juz majna yametoka lakin nikawa sjachaguliwa vya selikali ila rucu ndo wakawa wamenichagua mpaka Jana vyuo vya selikali walikua hawajanichagua na account ya ud na udom walikua walikua wananiambia not selected
nikaamua kucorfim Rucu
but Leo nimeingia ud kwenye account yangu wakanambia you have selected MUCE bachelor of art with education sasa nisha cornfim rucu iringa ila nataka kwenda MUCE nifanyeje wakubwa
mawazo yenu tafadhali
 
Sorry umewapigia na wamesemaje?
 
Sasa mkuu mbona kozi nyingi tu why usomee Education kiongozi unataka kufundisha nje ya nchi au anyway follow ur dream ila kama unaweza Ku change anza sasa kuna kozi nyingi tu acha uoga.
 
mimi pia ilinitokea jana ,nilishaconfirm udom baadae ud wakatoa mzigo nikawapigia na kuwaeleza halihalisi
 
Back
Top Bottom